Mwanamke unavumilia siku ngapi kama hupewi tendo la ndoa kabla hujaamua kwenda kwenu?

Mgosi Mbena

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2023
Posts
499
Reaction score
604
Wakuu, nimeoa siyo kwa ndoa au harusi. Jana nimerudi na mke, kwangu geto hapa Dar cha ajabu nimeshindwa kupiga show. Yaani, juzi usiku mzima tumelala nimeshindwa kupiga show. Jana nayo tena mambo yamegoma sijui nini.

Sina nguvu za kiume. Huyu manzi nilimla kama mara mbili kuna siku show mpaka ajakataa mwenyewe maana usiku hatukulala ni kitombo mwanzo mwisho. Hapo tulikuwa tunaibiana. Sasa nilivyoamua kurasimisha mambo ndo kitu imelala yoyooooo.

Hapa nawaza au ndugu zangu wameniroga. Maana hili swala nilishirikisha ndugu michango ya maali kama yote! Kwetu uchawi ni kama kawa (sina uhakika ila kijijini ndo mambo zao). Yaani nilale na mwanamke nishindwe kumla hadi asubuhi siyo mimi. Nimepata shaka sana. Kwa wanawake ukiolewa afu kusiwe na show utavumilia muda gani kabla hujafunga virago? Kwa mliooa hii ikoje? Nipeni ushauri.
 
cc to yeye
 
Kuna mmoja hapa nilimuuliza unawezaje kukaa muda mrefu bila kupewa tendo la ndoa na mume wako na we bado unachemka? Akanijibu ameacha kufikiria habari za kufanya tendo la ndoa na mwili wake umezoea hali hiyo ya ukame wa kukosa tendo la ndoa. Nusura nimuombe nikamzimue ila namheshimu ni mke wa rafiki yangu, wametengana na hana wa kumzimua mwili wake uchangamke ung'are
 
Tendo la ndoa ni kwaajili ya kutafuta watoto tu.

Vipi kwani mmeshajiandaa kuwa Wazazi? πŸ€—

Anyways,
Tendo la ndoa linaambatana na Utimamu wa akili.

Kama hauna Utulivu wa Akili na Mwili, itakuwa vigumu kumudu hilo Jukumu.

Chukua Likizo kidogo ofisini ama kwenye majukumu yako, then muende na shemeji sehemu tulivu nje ya makazi yenu.

Nendeni mkalale hotelini japo Siku mbili tatu, huyo Jogoo wako akishindwa kupanda mtungi basi itakuwa una tatizo lingine Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…