Mwanamke unavumilia siku ngapi kama hupewi tendo la ndoa kabla hujaamua kwenda kwenu?

Mwanamke unavumilia siku ngapi kama hupewi tendo la ndoa kabla hujaamua kwenda kwenu?

Wanawake wengine huwa hawana mvuto wa kimahaba na hukosa wanaume wa kuwatongoza, huweza kukaa muda mrefu bila kufanya tendo la ndoa, na wakipata wa kuwazangamua hudeka kitandani kama binti anayeanza mamboz, utahangaika kuingia kwa muda mrefu njia imebana. Wapo ambao hawawezi kukaa hata siku tatu bila kupelekewa moto,
 
Tendo la ndoa ni kwaajili ya kutafuta watoto tu.

Vipi kwani mmeshajiandaa kuwa Wazazi? 🤗

Anyways,
Tendo la ndoa linaambatana na Utimamu wa akili.

Kama hauna Utulivu wa Akili na Mwili, itakuwa vigumu kumudu hilo Jukumu.

Chukua Likizo kidogo ofisini ama kwenye majukumu yako, then muende na shemeji sehemu tulivu nje ya makazi yenu.

Nendeni mkalale hotelini japo Siku mbili tatu, huyo Jogoo wako akishindwa kupanda mtungi basi itakuwa una tatizo lingine Mkuu.
Sijawai kua na tatzo la kudinda
sina kqzi mkuu sasa mawazo ni ya nn
 
Kuna mmoja hapa nilimuuliza unawezaje kukaa muda mrefu bila kupewa tendo la ndoa na mume wako na we bado unachemka? Akanijibu ameacha kufikiria habari za kufanya tendo la ndoa na mwili wake umezoea hali hiyo ya ukame wa kukosa tendo la ndoa. Nusura nimuombe nikamzimue ila namheshimu ni mke wa rafiki yangu, wametengana na hana wa kumzimua mwili wake uchangamke ung'are
Ana watotot wangapi
 
hapana mkuu sina kazi ina hela ya kula haikosi
Naishi kwangu mwenyewe
Hizo hela ulizipata wapi, obviously ni kupitia Kazi ambayo pengine umeacha/Uliachishwa.

Ukiwa na akiba Benki let's say 5M na huna Hela inaingia as a Man with family lazima kichwa kikuume kwamba fedha hiyo ikiisha nitaishije na mtoto wa watu humu ndani maana Kila Siku una draw kwaajili ya kutumia.

Nashauri mchukue huyo Shemeji, nenda naye sehemu yenye Utulivu iwe ni hotel hata ya 35K, kaeni huko walau Siku 2.

Zimeni simu zenu, mkae kimfurahia wakati wenu pamoja.

Ukiona hiyo shida bado inaendelea basi itakuwa umetengenezwa na wale mabinti uliokuwa unawamega kisera huku ukiwahaidi utawaoa halafu ukawaacha Solemba 🙌
 
Yaani niende kwetu kisa mume hanipi tendo la ndoa?😂😂😂😂sijui au labda vile hayajanikuta.
Sio rahisi kuishi kwenye Ndoa na Mwanaume ambaye hakupi haki ya Ndoa unless una Kidumu Chako pembeni kinachotimiza hilo hitaji.

Ama vinginevyo umri wako uwe umesogea.

Ukiwa bado una nguvu, na unalishwa na kutunzwa vizuri na Mumeo, huwezi ukavumilia kukosa tendo unless uwe na alternative
 
Ana watotot wangapi
ana watoto watano, huyu mdogo ana miaka mitatu, mume kajitenga nae na hampu huduma ya tendo la ndoa ni muda mrefu sasa, halafu mke namuuliza habari za kupeana tendo la ndoa na mume wake anajibu mwili wake hauwaki kutamani tendo hilo. Nusura nimuombe nikampashe joto mwili wake uchangmke naona kama anaufubazaa asije akapata matatizo ya kisaikolojia na homoni zake za kike kudumaa kuacha kufanya kazi zake za kibayolojia
 
Hizo hela ulizipata wapi, obviously ni kupitia Kazi ambayo pengine umeacha/Uliachishwa.

Ukiwa na akiba Benki let's say 5M na huna Hela inaingia as a Man with family lazima kichwa kikuume kwamba fedha hiyo ikiisha nitaishije na mtoto wa watu humu ndani maana Kila Siku una draw kwaajili ya kutumia.

Nashauri mchukue huyo Shemeji, nenda naye sehemu yenye Utulivu iwe ni hotel hata ya 35K, kaeni huko walau Siku 2.

Zimeni simu zenu, mkae kimfurahia wakati wenu pamoja.

Ukiona hiyo shida bado inaendelea basi itakuwa umetengenezwa na wale mabinti uliokuwa unawamega kisera huku ukiwahaidi utawaoa halafu ukawaacha Solemba 🙌
sawa
 
Back
Top Bottom