Mgosi Mbena
JF-Expert Member
- Nov 28, 2023
- 499
- 604
- Thread starter
- #41
sasa mamaa huu umekaa kiuwazi zaidiSio rahisi kuishi kwenye Ndoa na Mwanaume ambaye hakupi haki ya Ndoa unless una Kidumu Chako pembeni kinachokitimizia hilo hitaji.
Ama vinginevyo umri wako uwe umesogea.
Ukiwa bado una nguvu, na unalishwa na kutunzwa vizuri na Mumeo, huwezi ukavumilia kukosa tendo unless uwe na alternative