Na hii inawakuta wanawake wengi sana waliopo ktk ndoa.
Una bahati..maana hayo ni mateso makubwaMie ilibaki kidooooogo niolewe kabisa, aisee nafsi ilikuwa ikinisuta vibaya mnoo, mwisho ilibidi tu niwe muwazi. Alinichukia kwa muda ila baadae akanielewa.
Sio wote huwa wanaweza kujinasua haswa unapokuta mwanaume anakupenda na kukujali kwelikweli. Huwa najiuliza wale wanaojifunza kupenda wanawezaje?!!!!!
NamwambiaDaah kama habari yako ni kweli, mwambie tu kwamba hawezi pata chochote
Hahaha mwenza nini bwanaMwenza bana[emoji23][emoji23][emoji23]
Nawaza tu ukishindwa kumpenda kama ambavyo mtoa mada ameshindwa ni unaishi maisha ya kufurahisha watu tu huku wewe nafsi yako inasinyaa tu!!!Una bahati..maana hayo ni mateso makubwa
Umenifurahisha tu.Hahaha mwenza nini bwana
ππnimecheka kama mazuri.Ingekuwa enzi hizi ingesemekana huyo mbaba alikuwa danga lako.Japo ulikuwa mdogo,ila ulimvuruga ulipomuacha,sishangai kusikia ameachana/kutengana na aliyemuoa.Chanzo...?Bado hajapata wakuziba pengo uliloliacha.
Nawaza tu ukishindwa kumpenda kama ambavyo mtoa mada ameshindwa ni unaishi maisha ya kufurahisha watu tu huku wewe nafsi yako inasinyaa tu!!!
ππkudanga muhimu?Hata sasa?π.Ila jamaa anastahili tuzo ya Nobel.Ulimuumiza sana.Kwaniaba yake,leo nayabeba maumivu aliyojisikia au anayoyasikia sasaππππ kudanga muhimuπππ alafu tumejenga karibu karibu..i.mean dingi alijenga mtaa m1 na yy.. mara nying nikienda hua sikai mitaa hyo nimeonana naye mara 2 ananiulizaga hv kweli umeolewa?π£ hahahaha... yule jamaa hapana.. analea wanae tu nw.. ataoa tu nahis atakuwa kwenye 50's nw au anakaribia 50..ila ni very very smart!
Dota Heaven Sent hebu kuja mpenzi utoe tiba.huyu tumkutanishe na Heaven Sent huenda akawa msaada kwake
ππkudanga muhimu?Hata sasa?π.Ila jamaa anastahili tuzo ya Nobel.Ulimuumiza sana.Kwaniaba yake,leo nayabeba maumivu aliyojisikia au anayoyasikia sasaπ
Japo mnasema ukweli lakini mnaogopesha sana.Ni funzo pia kwa upande wa pili.Kuumia lazima maana atajua kuna mwingine anayependwa kama yeye
Amini nakuambia yule kaka nimekuja kujua baadae sana kuwa ananipenda kimapenzi I had no idea na vile hasemi nimeendelea kujifanya sijui tehJapo mnasema ukweli lakini mnaogopesha sana.Ni funzo pia kwa upande wa pili.
ππkudanga muhimu?Hata sasa?π.Ila jamaa anastahili tuzo ya Nobel.Ulimuumiza sana.Kwaniaba yake,leo nayabeba maumivu aliyojisikia au anayoyasikia sasaπ
Japo mnasema ukweli lakini mnaogopesha sana.Ni funzo pia kwa upande wa pili.
ππ my best maumivu yangu kwa niaba yake yako pale pale.Uliacha mahusiano yakanoga kabisa halafu moyo wake ukawekeza kwako.Kuzaliwa mwanaume ni mateso,huu ni mfano halisiππhv upo serious best?sasa bambii na mm nan anaifadhari?humuon mtoa mada anaumia hisia zake ..? alafu unadhan nil9mwacha kwa mbwembwe?hapana.. nilianza kukataa outing zetu najifanya nina paper.. ila siku akanikuta bar 1 maarufu na huyu" future husband"π nilijisikia vby.. bt hakuna na jinsi coz asingesoma yule alikua ana uwezo wa kunizaa.. alikua mkubwa kwangu sana bwana π..
basi kwa niaba yake NAOMBA UNISAMEHE! niwie radhi mkuu.. bas mm najiona sikumpotezea muda
Amin nami nakwambia mnajua sana kuitesa jinsia ya piliAmini nakuambia yule kaka nimekuja kujua baadae sana kuwa ananipenda kimapenzi I had no idea na vile hasemi nimeendelea kujifanya sijui teh
ππ my best maumivu yangu kwa niaba yake yako pale pale.Uliacha mahusiano yakanoga kabisa halafu moyo wake ukawekeza kwako.Kuzaliwa mwanaume ni mateso,huu ni mfano halisi
ππ hapo best wangu kudanga iwe wito.Usipate wito huoπniliandka kiutani bwana.. naanzaje kudanga sasa na uzee huu.. kudanga wito ati....
ππ hapo best wangu kudanga iwe wito.Usipate wito huo