Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Teh teh teh pole sana mkuu!! Hawa watu wapende ila wakijua umewapenda tu, hamna rangi utaacha ona.
 
Tatizo lako haupo tayari kuruhusu hisia zako kwake..jaribu kuruhusu hisia kwanza mdogo mdogo utaanza kumpenda hakuna aliezaliwa na kipaji cha kupenda...tunajifunza
nimejitahidi na ninaendelea kulifanyia kazi hili, shukrani kwa mawazo mazuri
 
asante kwa kunielewa sana.


sasa ww ulichobug toka mwanzon ulikua una sita sita huamni km unampenda..ukajipa moyo uishi naye..
mm niliwah kuwa na mbaba m1 jaman alinipendaaa uwii mm hapo simpendi.. alikua anakula vby huyo anajilamba mavidole.. anabeua beua tu kwenye mlo..nikasema nafanyanye! alipoleta habari za kunioa nikamwambia sipo tayar bado.. aliumia lakini nilijiponya na nafsi yangu.. alikua anavalia mkanda wa surual kifuani inahu?ila alikua njema balaa.. imagine unamwacha mtu anaekusaidia kwa kila kituuu nilikua nakula had ada yy anafix.. nikamfyekelea mbali..ila maajabu ali igharamia sendoff yote😊😊 abarikiwe huko alipo😊😊!pole mwaya pambana...
 
Wewe toka mwanzo uliona kuna shida kwa nini hukusimama pembeni, uliligundia hili mapema sana hata kabla ya ndoa, ukaomba ushauri nk. Kwa nini ulisonga mbele wakati moyo unasema hapana. Sasa umeingia kwenye ndoa na it seems mna watoto ndo unaona kama safari unataka iishie hapa. Its Okey umejiandaa kikamilifu kwa hatua inayofuata? Unaweza kusimamia ukweli na kuitafuta talaka mahakamani na kupoteza sehemu kubwa ya stahili zako, unajua ni kiasi gani utavuluga ustawi na maisha ya mwenzi wako sababu ya ubinafsi wako. Wakati mwingine huwezi pata kila kitu maishani, kinachokusumbua ni umimi na ubinafsi ulio pindukia. Unajitizama wewe tu, hufikili kuhusu watoto,mume,majirani, wazazi pande zote 2 na marafiki. Huyo mwanaume umemuandaa kisaikolojia nadhani utakuwa hujamiandaa kwa sababu hujali na unajijali wewe tu. Haya kuoanga ni kuchagua, Mungu amtie nguvu jamaa atapata mwingine, hakuna linalotokea bila sababu
 
Kweli
 
Sio kila anaevumilia anavumilia kwasababu anakupenda.
 
Labda hujasoma vizuri andiko langu. nimeomba ushauri wa nini nifanye ili kufurahia ndoa yangu? hakuna sehemu nimesema ninataka kuondoka wala talaka.
 
Mie ilibaki kidooooogo niolewe kabisa, aisee nafsi ilikuwa ikinisuta vibaya mnoo, mwisho ilibidi tu niwe muwazi. Alinichukia kwa muda ila baadae akanielewa.

Sio wote huwa wanaweza kujinasua haswa unapokuta mwanaume anakupenda na kukujali kwelikweli. Huwa najiuliza wale wanaojifunza kupenda wanawezaje?!!!!!
 
Hahhaha kama nakuona na mbaba wako
 
Labda hujasoma vizuri andiko langu. nimeomba ushauri wa nini nifanye ili kufurahia ndoa yangu? hakuna sehemu nimesema ninataka kuondoka wala talaka.
Ohh my god she doesn't even know what she want..
 
Mwenza bana[emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo tukionana nae huwa ananiuliza maswali anapenda kujua nafanya nini,Nafikiria kufanya nini au ningependa kufanya nini maswali kama hayo unajikuta umeshamwambia shida zako hahaha
 
Sio wote huwa wanaweza kujinasua haswa unapokuta mwanaume anakupenda na kukujali kwelikweli. Huwa najiuliza wale wanaojifunza kupenda wanawezaje?!!!!!
yaani ninatamani pia kujua wanawezaje? haswa unapokua na mtu anaeweza kukuvumilia, kukujali na kuchukuliana na wewe kwa kila hali, lakini wewe hisia zako za mapenzi wala hazishtuki
 
Kumbe ndio huwa mnajipa moyo hivyo!!!!
 
yaani ninatamani pia kujua wanawezaje? haswa unapokua na mtu anaeweza kukuvumilia, kukujali na kuchukuliana na wewe kwa kila hali, lakini wewe hisia zako za mapenzi wala hazishtuki


mhh ila ww ht kaole waweza kukaa na kuishi kbs.. nashukuru Mungu damu ya kufake sina mm kbs..nakuimagine hapo.. khaa..pole.. sasa ww jishughlishe tu na mengine..
ila nikuombe kitu ki1..kama mumeo anajali hisia zako perfectly my dear lipa fadhila kwa kumpenda tu.. mengine ya hisia omba tu Mungu.. unaweza angukia kwa umpendaye ila likakufuuujaaa wee shubamiit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…