Mwanamke Ungepata Nafasi Kuwa Mwanaume kwa Mwaka Mmoja, Ungefanya Nini? 🧐

Mwanamke Ungepata Nafasi Kuwa Mwanaume kwa Mwaka Mmoja, Ungefanya Nini? 🧐

888I

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
472
Reaction score
581
Mambo Vipi, mwana JF, wabunifu wa taifa! Leo tuachane kidogo na siasa na mambo ya Gavo na Ngenga zao, tujichangamshe na 'science fiction' ya maisha! 😂

Hebu fikiria, mdada/mwanamke uliyejichanganya huku, unapewa Kipawa cha Ajabu (Superpower) cha kubadilika kuwa mwanaume kamili kwa Mwaka Mmoja Tu!

Ungefanya nini na huo "Uanaume wa Kukodi"?

1. Ungelala na kila mwanamke 😂😂na kila staili ungejaribu ama usinge piga popote 🤔​

2. Ungehonga kweli kweli Hadi wakushangae ama ungekuwa mchungu wa kutoa​

Maoni ya dada Binti wa zamani
Nayatamani hapa 😂😂

Wadau, nini kingine ungefanya na huo 'Uanaume wa Kukodi'?👇
 
Kwa anavyopenda minyanduano Binti wa zamani hakyanani tungeshamzika.
Aiseeeehhhhh, ingekua ni humu tu 🤣
200 5.GIF

Hizo mbususu zingenikoma, ningefanana tabia na my son Poor Brain
 
Maoni yangu unayajua buana 😅

Ningezikula mno, ningetaka kujua kwanini mnapenda mikia, ina raha gani kwenye kuangalia huku unaichapa. Ningekula na vipotabo, unakibeba juu juu huku unakichapa 🤣.

Ningekua na tabia ya kutongoza kimasihara, ili nione nani atanikubali halafu wala simli 🤣 mambo yangekua mengi!
Duuuuh kazi kweli kweli
 
Kwakweli nilikuwa nayajua 😂😂😂🙌
 
Back
Top Bottom