Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Hamna huyo na salamu mkikutana shika furushi moja, ikifatiwa na siku yako inaendaje huku mkono upo kwenye chakula cha mtoto ajajibu unakula lita tayariii maneno yanayofuata ni kichina au kijapaniHuwa najiuliza swal na Analyse analipotezea. Je alikuw anamwamkia shangaz shikamoo🤣
Mwak huu lazim nile shangaz nakuja kusimuli😀Hamna huyo na salamu mkikutana shika furushi moja, ikifatiwa na siku yako inaendaje huku mkono upo kwenye chakula cha mtoto ajajibu unakula lita tayariii maneno yanayofuata ni kichina au kijapani
Waiting pia utueleze kwamba brek ilikuwa tumboMwak huu lazim nile shangaz nakuja kusimuli😀
kuna lishangazi lilinipendaga mwanangu 😂lilikua leupe sema nilihama huo mtaa...Waiting pia utueleze kwamba brek ilikuwa tumbo
Kmmk kuna shangazu juz kameza mbou yangu mpaka nikahis ni kibogoyo, tumeanzia mbali, tumekaa samaki samaki yanakuja ma balentine tunashare cost aisee nimemkaza mpaka nataman awe mke wangu... HATARI SANA.. MASHANGAZI HAWANA HIYANATatizo la Gily anataka aanze kudeal na mashangazi wakati umri ushaenda. Miaka 49 mashangazi wa nini? Maana wote ni kama rika lake tu 😅😅😅
Ila mkuu nisiwe muongo, mashangazi ni habari nyingine 😅😅
dah, one day yes na mimi... 😂Kmmk kuna shangazu juz kameza mbou yangu mpaka nikahis ni kibogoyo, tumeanzia mbali, tumekaa samaki samaki yanakuja ma balentine tunashare cost aisee nimemkaza mpaka nataman awe mke wangu... HATARI SANA.. MASHANGAZI HAWANA HIYANA
🤣🤣🤣Waiting pia utueleze kwamba brek ilikuwa tumbo
Waiting pia utueleze kwamba brek ilikuwa tumbo
umeona nshikaji kamezw kabaki miguu🤣🤣🤣Kmmk kuna shangazu juz kameza mbou yangu mpaka nikahis ni kibogoyo, tumeanzia mbali, tumekaa samaki samaki yanakuja ma balentine tunashare cost aisee nimemkaza mpaka nataman awe mke wangu... HATARI SANA.. MASHANGAZI HAWANA HIYANA
raha sana mwanangu...umeona nshikaji kamezw kabaki miguu🤣🤣🤣
Ulimezw wakati unakula kisamvu 😬😬😬raha sana mwanangu...
Kaa bee kwani fiiiipii.
Miye hata Sub sipangwi ng'odo nimeona yamekuuutokaaa mengi sana maneno .Vumilia tu, kama na wewe ni Retired War veteran.
But nipo kuwasisitiza vijana wajiepushe.
Hilo mbona najua na ninaelewa hata kama sijaolewaukishaolewa utaelewa [emoji23]
Majuto ni mjukuuMwanamke huyu hapa (anaitwa Alvera) amesema anajuta sana kuwakataa wanaume wote waliotaka kumuoa akiwa kijana, sasa ana miaka 56, hawezi tena kuolewa na amekuwa mpweke sana.
View attachment 2596606
Amedai kwamba alikua akiogopa atabebeshwa mimba na kuachwa, lakini sasa amepata matatizo ya kiafya, na amekuwa mlemavu, anatamani angekua na familia ya kumfariji.
View attachment 2596610
Kuna mwanaume mmoja aliyetaka kumuoa kipindi cha nyuma, Alvera amesema sasa yuko tayari amlipe pesa ili mradi tu akubali kumuoa.
View attachment 2596611
Kwa kuwa sasa anapendezwa na wanaume, wanaendelea kumwambia kwamba wakati wake umepita na kwamba wanataka wanawake wachanga na wenye uwezo wa kuolewa. Anaishi mwenyewe kabisa kwa sasa, na kampani aliyonayo ni redio yake ya analogi.
Majuto ni mjukuu.