Mwanamke usiringe sana kwenye ujana wako

Mwanamke usiringe sana kwenye ujana wako

Huwa najiuliza swal na Analyse analipotezea. Je alikuw anamwamkia shangaz shikamoo🤣
Hamna huyo na salamu mkikutana shika furushi moja, ikifatiwa na siku yako inaendaje huku mkono upo kwenye chakula cha mtoto ajajibu unakula lita tayariii maneno yanayofuata ni kichina au kijapani
 
Tatizo la Gily anataka aanze kudeal na mashangazi wakati umri ushaenda. Miaka 49 mashangazi wa nini? Maana wote ni kama rika lake tu 😅😅😅

Ila mkuu nisiwe muongo, mashangazi ni habari nyingine 😅😅
Kmmk kuna shangazu juz kameza mbou yangu mpaka nikahis ni kibogoyo, tumeanzia mbali, tumekaa samaki samaki yanakuja ma balentine tunashare cost aisee nimemkaza mpaka nataman awe mke wangu... HATARI SANA.. MASHANGAZI HAWANA HIYANA
 
dah, one day yes na mimi... 😂
 
Waiting pia utueleze kwamba brek ilikuwa tumbo
Kmmk kuna shangazu juz kameza mbou yangu mpaka nikahis ni kibogoyo, tumeanzia mbali, tumekaa samaki samaki yanakuja ma balentine tunashare cost aisee nimemkaza mpaka nataman awe mke wangu... HATARI SANA.. MASHANGAZI HAWANA HIYANA
umeona nshikaji kamezw kabaki miguu🤣🤣🤣
 
Itakuwa ni msomaji mzuri wa jf kaogooa kuwa singo maza mpaka wakati ukampita maskini
 
Mwanamke huyu hapa (anaitwa Alvera) amesema anajuta sana kuwakataa wanaume wote waliotaka kumuoa akiwa kijana, sasa ana miaka 56, hawezi tena kuolewa na amekuwa mpweke sana.

View attachment 2596606

Amedai kwamba alikua akiogopa atabebeshwa mimba na kuachwa, lakini sasa amepata matatizo ya kiafya, na amekuwa mlemavu, anatamani angekua na familia ya kumfariji.
View attachment 2596610
Kuna mwanaume mmoja aliyetaka kumuoa kipindi cha nyuma, Alvera amesema sasa yuko tayari amlipe pesa ili mradi tu akubali kumuoa.
View attachment 2596611

Kwa kuwa sasa anapendezwa na wanaume, wanaendelea kumwambia kwamba wakati wake umepita na kwamba wanataka wanawake wachanga na wenye uwezo wa kuolewa. Anaishi mwenyewe kabisa kwa sasa, na kampani aliyonayo ni redio yake ya analogi.

Majuto ni mjukuu.
Majuto ni mjukuu
 
Back
Top Bottom