Mwanamke usisubiri mwanaume muovu aje abadilike, kimbia mbio

Mwanamke usisubiri mwanaume muovu aje abadilike, kimbia mbio

Eti "kimbia" na unakimbia unaenda wapi!?
Kwa akili ya wanawake huruka kutoka kwenye frying pan na kuingia kwenye moto🚮🚮🚮🚮🚮
 
Eti "kimbia" na unakimbia unaenda wapi!?
Kwa akili ya wanawake huruka kutoka kwenye frying pan na kuingia kwenye moto🚮🚮🚮🚮🚮
So tukusubiri uje ubadilike eti ee??
Mwisho ulete magonjwa ndani ya familia kwa starehe zako, I can't accept it, bt ni mawazo yangu sorry
 
Mwanamke usisubiri mwanaume muovu aje abadilike, kimbia mbio.

We love you Guys ila mkiota mikia tunaikata😂 Shwaa.
Itakuwa huyo mwamba hakufikishi.
Hakuna mwanamke mwenye kisirani hivi kwa kidume anayemtoa maji yote
 
Back
Top Bottom