Mwanamke usisubiri mwanaume muovu aje abadilike, kimbia mbio

Mwanamke usisubiri mwanaume muovu aje abadilike, kimbia mbio

2025 imeanza kuchangamka mapema sana."Ngoja tuoneshane makali kidogo"- Dokta Shika.
 
Mleta mada amesema ya kwamba Mwanamke usiishi na Mwanaume negative ukitarajia one day atakuja kubadirika - Utajuta!

This is it! 💔😆
Wanaume wote ni wale wale TU kila mmoja ana weakness yake inadepend mwanamke ata handle vipi situation

Vipi we upo negative kwa namna ipi?!
 
Wanaume wote ni wale wale TU kila mmoja ana weakness yake inadepend mwanamke ata handle vipi situation

Vipi we upo negative kwa namna ipi?!
Mimi?

Negative yangu kubwa ni kwamba kila nikijaribu kupika pilau huwa inatoka bokoboko.

Kwenye kupika, naweza nunua spices, lakini matokeo ya pishi huwa yakushangaza sana – kitu kingine ambacho hata hakina jina.

lakini bado najivunia hivyo hivyo hali inayosababisha nionekane negative!
 
Husband material kabisa,,🙃
 
1.Awe responsible kuhakikisha anahudumia.
Vipi kuhusu kushirikiana ili hizo huduma ziwe matokeo ya kushirikiana kwenu instead of upande mmoja tu kutoa huduma?
2. Make other women jealous kwa kumpenda mke zaidi
"Wanawake wengine wapate wivu" - i like that!

Inamaanisha unatafuta mtu ambaye atakufanya ujisikie maalum mbele ya wanawake wengine?
 
Vipi kuhusu kushirikiana ili hizo huduma ziwe matokeo ya kushirikiana kwenu instead of upande mmoja tu kutoa huduma?
Hapo mnaweza kushirikiana ila sio jambo rahisi!!
"Wanawake wengine wapate wivu" - i like that!

Inamaanisha unatafuta mtu ambaye atakufanya ujisikie maalum mbele ya wanawake wengine?
Hakika na unawafanya wanamwonea wivu mkeo kwa kukupata🤭
 
Itakuwa ni ajabu sana mwanamke kushinda tukilia na kufanya maombi kwakusubiri eti mwanaume muovu aje abadilike😂😂, NEVER

Hawa watu wakiamua kufanya vituko ndio wanazamia hukohuko itakauka koo kutwa kulia, me najionea hapa kwa watu wanaonizunguka ni kasheshe, jamani huu ni ujinga wa kukandamiza maendeleo yetu tuamke ama sivyo tutaendelea kuwa Down.

We love you Guys ila mkiota mikia tunaikata😂 Shwaa.
Kizazi Cha 1990, kizazi cha kuangalia tamthiliyaaaa za kikorea, alafu nacho kinataka mapenzi ya hivohivo.

Kizazi kinachosahau kua, kilipoteza Bikra kikiwa na miaka miwili na nusu, kizazi kinachosahau kua Tamaduni za kikorea hamna kulana kimasihara, ili hali kizazi chenyewe unakutana nacho Leo mishale ya saa nane mchana, unakitoa Dinner, kinakula, kinanyegeka, kunakupa mzigo.

Nyinyi tunawezana wenyewe, tuvumiliane tuu😂😂🤣
 
Kisa we single mother unataka na wenzako wawe hivyo. Acha wenzako wawabadilishe wapendwa wao, ndiyo maana walikubaliana kwenye shida na raha.
Bado hata sijatotoa, labda mbeleni siwezi jimaliza kwa maneno
 
Japo umeweka emoj za kucheka, maumivu unayopitia yanaonekana wazi,
Pole kwa umri wako, sahv watoto wa 2006 ndo wako kwenye chat
Bado sija experience hayo, ila kama mwanamke nayaona kwa watu wa karibu mpaka inachosha
 
Wansaikolojia wameshaprove wanawake wengi wao wanawapenda bad boys/playboys.So tatizo mara nyingi linaanzia kwenye machaguo yenu maana wengi wenu hamuwapendi nice/good guy, huku mkijipa moyo mtambadilisha bad boys.

Bila kusahau ule wimbo wenu maarufu "bora kulia kwenye V8,kuliko kucheka kwenye baiskeli ".
Kama kweli vile
 
Back
Top Bottom