Mwanamke usisubiri mwanaume muovu aje abadilike, kimbia mbio

Kha! So wewe unaoa kwasababu unataka kumsitiri huyo mwanamke? Wewe baba huruma?
Pia n kwa sababu bikra zimekuwa adimu, msichana ht bado hajavunja ungo unakuta tayari ameshapasuliwa
 
Kwahiyo kujibebesha majukumu ya kulea mke kwasababu unamuonea huruma?
 
Itakuwa ni ajabu sana mwanamke kushinda tukilia na kufanya maombi kwakusubiri eti mwanaume muovu aje abadilike😂😂, NEVER

Hawa watu wakiamua kufanya vituko ndio wanazamia hukohuko itakauka koo kutwa kulia, me najionea hapa kwa watu wanaonizunguka ni kasheshe, jamani huu ni ujinga wa kukandamiza maendeleo yetu tuamke ama sivyo tutaendelea kuwa Down.

We love you Guys ila mkiota mikia tunaikata😂 Shwaa.
Kisa we single mother unataka na wenzako wawe hivyo. Acha wenzako wawabadilishe wapendwa wao, ndiyo maana walikubaliana kwenye shida na raha.
 
Itakuwa ni ajabu sana mwanamke kushinda tukilia na kufanya maombi kwakusubiri eti mwanaume muovu aje abadilike😂😂, NEVER

Hawa watu wakiamua kufanya vituko ndio wanazamia hukohuko itakauka koo kutwa kulia, me najionea hapa kwa watu wanaonizunguka ni kasheshe, jamani huu ni ujinga wa kukandamiza maendeleo yetu tuamke ama sivyo tutaendelea kuwa Down.

We love you Guys ila mkiota mikia tunaikata😂 Shwaa.
Japo umeweka emoj za kucheka, maumivu unayopitia yanaonekana wazi,
Pole kwa umri wako, sahv watoto wa 2006 ndo wako kwenye chat
 
Itakuwa ni ajabu sana mwanamke kushinda tukilia na kufanya maombi kwakusubiri eti mwanaume muovu aje abadilike😂😂, NEVER

Hawa watu wakiamua kufanya vituko ndio wanazamia hukohuko itakauka koo kutwa kulia, me najionea hapa kwa watu wanaonizunguka ni kasheshe, jamani huu ni ujinga wa kukandamiza maendeleo yetu tuamke ama sivyo tutaendelea kuwa Down.

We love you Guys ila mkiota mikia tunaikata😂 Shwaa.
Wansaikolojia wameshaprove wanawake wengi wao wanawapenda bad boys/playboys.So tatizo mara nyingi linaanzia kwenye machaguo yenu maana wengi wenu hamuwapendi nice/good guy, huku mkijipa moyo mtambadilisha bad boys.

Bila kusahau ule wimbo wenu maarufu "bora kulia kwenye V8,kuliko kucheka kwenye baiskeli ".
 
Kuna kitu mama aliniambia,ukiona mwanaume hatambui thamani yako kabla hata ya kukuweka ndani basi usitegemee akakuthamini akishakuoa...ni yuleyule...habadiliki...

Mi nina hasira sana Kuna mtu aliniambia hutobadilika...I swear ni kweli sitobadilika.That is it ✌️
 
Mnakimbilia waliozipata kinachowakuta ni kuwa mtumwa
Ukitaka uwe mtumwa zaidi olewa na maskini...
Wanaotukimbia tusionazo wako fair sana...yaan sana.
Usimlaumu mtu kwa maamuzi yoyote anayoyafanya anajua nini anafanya
 
Mwaka jana nilifanya maamuzi magumu ya kuachana na demu mmoja alikua ana tamaa sana, afu ni mchungu wa kutumia hela yake hata kwa vitu vyake binafsi Afu ana asili uchoyo
Nkapiga hesabu huyu mtu nkiendelea naye ntakuja kuwa na familia ya hovyo sana,
Nkapiga chini
 
Yeah,ukishaona haiwezekaniki ujue haiwezekaniki...fanya maamuzi
 
Back
Top Bottom