Mwanamke usisubiri mwanaume muovu aje abadilike, kimbia mbio

Mwanamke usisubiri mwanaume muovu aje abadilike, kimbia mbio

Kuna kitu mama aliniambia,ukiona mwanaume hatambui thamani yako kabla hata ya kukuweka ndani basi usitegemee akakuthamini akishakuoa...ni yuleyule...habadiliki...

Mi nina hasira sana Kuna mtu aliniambia hutobadilika...I swear ni kweli sitobadilika.That is it ✌️
I always say this, unadate mlevi unategemea neema ya Mungu atabadilika akikuoa?? Huo mzigo utakuwa wako
 
Usingo maza na vicoba na mikopo kausha damu imekutesa unataka wanawake wenzako nao waige upuuzi wako...
 
Back
Top Bottom