Mwanamke, utakubali tubadilishane unipe MUMEO nani nikupe UTAJIRI WANGU?

Mbona kama hasira zako za kuachwa umezimalizia kwa mwenzio!!!

Muombe Mungu nawe utampata wako, pesa ina nafasi yake ila kamwe haiwezi kuziba ombwe la mapenzi.
Alitia hasira coz anadanga tena kwa binam wa mumewe il amalizie kijumba chake amkimbie mumewe then ananishaur nilazimishe ndoa nisikopendwa.

Yes pesa haiwez kuwa mpenz ila mtu ukiachwa unatakiwa ukubali kuachika maisha yasonge.
 
Ni kweli kabisa usemavyo mkuu ila mim siko tayar kuolewa na nisiyempenda.

Bahati mbaya niliyempenda kaona simfai sasa nafanyaje mkuu kama sio kuendelea na maisha mpaka pale Mungu atakapoamua tofauti?
 
Hauna adabu.
Unaujuaji.
Unajiona unaweza.
Unadhani umejitosheleza.
Hauna utii.
Halafu define kwanza u feminist ni nini then ndo uje na list ua hayo mazaifu yangu kisha umalizie na mifano ya kusapot hizo shutuma zako kwangu.
 
Ni kweli kabisa usemavyo mkuu ila mim siko tayar kuolewa na nisiyempenda.

Bahati mbaya niliyempenda kaona simfai sasa nafanyaje mkuu kama sio kuendelea na maisha mpaka pale Mungu atakapoamua tofauti?
Usifunge mlango. Omba mno. Hata sisi wanawake wa kuoa hatuwaoni. Duniani kuna wanawake wengi Ila sio wote ni wake na wamama sahihi kwa watoto. Ukifika muda wa kuoa ndio unaona hilo pengo. Ni kubwa mno. Inaweza angaza bila kuona mwenye hofu ya Mungu na mwenye uwezo wa kukushauri huku akijua nafasi yake. Usikate tamaa. Sijakata Japo wengi ni maslahi.
 
I know mkuu na I was ready to be this rare gem to him but I guess I wasnt good enough for him.

May God grant your desire
 
I know mkuu na I was ready to be this rare gem to him but I guess I wasnt good enough for him.

May God grant your desire
You were ready. You..not God. Huwa Kuna wakati tunasahau sisi tumekuja kufungua kitabu kilichokwisha andikwa. Turudi kwa mwandishi tumuulize njia ni ipi? Tumwambie tumepotea njia mbele ni Giza. Tunahitaji mwanga.
 
Kwahiyo kwenye ndoa wanatomban-a mpaka na mashemeji binamu🤔🤔🤔??

#YNWA
 
Halafu define kwanza u feminist ni nini then ndo uje na list ua hayo mazaifu yangu kisha umalizie na mifano ya kusapot hizo shutuma zako kwangu.

Wanaume siku zote hawapendi Wanawake wenye Vipato vya kuwazidi wao..Yaan wengi wengi wao wanajealous sana na wanawake waliowazidi vipato

Wanaume walio wengi wanaona wanawake waliwazidi vipato wanajeuri..ngebe..nyodo..dharau n.k

Na siku zote Wanaume hawajiamini kabisa mbele ya Wanawake waliowazidi Vipato

Na kama una Mume alafu umemzidi kipato atakuhusudu Vibaya sana..na hakuna HASSAD mbaya kama ya MUME KWA MKE
 
Dont be desperate for the name of Ndoa kama umepangiwa Ndoa utaipata tu..mda wako haujafika

Endelea kujitunza..kujipenda..kujithamini na kujiheshimu

Your future hubby is somewhere searching for you..Relax and keep calm
 
Muda mwingine mwanamme huwa tunamkataa mwanamke kumpima kama ataondoka ama atabaki.

Kuondoka kwako kunaonesha wewe ni mjeuri na una backup. Angekuoa ungemtesa na ungemkimbia tuu. Hufai kuwa mke.
😳Kupima huko kwioo🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…