Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kama uliyasponsor basi kweli ulimpenda jamaaNiliya sponsor kwa moyo wangu wa upendo kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama uliyasponsor basi kweli ulimpenda jamaaNiliya sponsor kwa moyo wangu wa upendo kwake.
Umejuaje sijafanya juhudi za kunusuru hayo mahusiano wkt sijaeleza chochote zaid ya kusema nimeachwa?Hata juhudi za kufanya reconciliation hakuna yet unasema ulimpenda sana? Ukimpenda mtu humuachii kirahisi namna hio unless njia zote za kutaka kuwekana sawa ziwe zimegonga mwamba.
Unaonesha dhahiri ulikuwa mpenzi kiburi ambaye hubabaishwi na mwanaume na kauli za aina hio.
You cant be cold hearted kiasi hicho halafu useme eti ulimpenda sana.
Mmh maana naona kama ume shut down fasta tu yani. Kwa jinsi ambavyo umeandika maana hukuchukua steps labda kutaka kujua.Umejuaje sijafanya juhudi za kunusuru hayo mahusiano wkt sijaeleza chochote zaid ya kusema nimeachwa?
Kwanin uhisi nilikua mpenz kibur na sio yeye?
Ku move on wote tunachukua muda ila kumng'ang'ania mtu aliyeomba kuachana ni kumkosea heshimaMimi nikipenda kuachana ni kitu kigumu sana Kwangu nachelewa mno kumove on na huwa naumia mno
Kweli, hao ndo walifanya sensa tuonekane wengiMleta uzi naona kama dume hili linachezea watu akili.
AmiinWanawake wengi wameingia kwenye ndoa kwa sababu ambazo sio sababu
Jamani ndoa ni taasisi na ndoa ni jukumu tena jukumu linalobeba heshma na utu wa mtu.
Lakini hapohapo ndoa sio shurti useme ati kila mtu lazima aoe a kuolewa.
Kumiliki ndoa ni kama kumiliki shamba au nyumba au mifugo au biashra au gari.... sio kila mtu anaweza kumiliki nyumba au gari na kukosa kumiliki hivyo sio dhambi wala sio ujinga au ujanja ila ni uwezo
Ukisema ati ndoa ni heshma au bila ndoa hujakamilika huku unachepuka daily kwa kukosa upendo wa ndoa wewe mpuuzi na mpumbavu wa mwisho ambaye hufundishiki, hujielewi wala hueleweki
Team kataa ndoa ni wanaume ambao bado wanakua na wakiwa wakubwa watabadili mawazo
Ndoa iheshimiwe na watu wote
Yaani kisa tu na wewe uitwe Mrs.Ndani ya ndoa angekuua.....ogopa sana kiumbe kinaitwa mwanaume.Mwanaume asipoonyesha interest nawe usilazimishe muoane.Tuwe makini ndoa sikuhizi ni kaburi mom
Big NOYaani kisa tu na wewe uitwe Mrs.
Ameomba kuachana ndio ila its better kujua changamoto ilikuwa ni nini, you might be doing things the wrong way na hajapenda or he is just the crazy one.Ku move on wote tunachukua muda ila kumng'ang'ania mtu aliyeomba kuachana ni kumkosea heshima
Kumpenda mtu ni pamoja na kukubali kukubali aachane na wewe iwapo kaonesha humpi furaha anayostahili kuipata.
Kama ulikuwepo.Huenda nae kachelewa sana,na anaumia mno ila kujikaza....shosti mwanaume asipokupenda ukilazimisha umeisha
😳Hivi upo seriously kweli umemkomalia huyu manz yupo wrong bro?Ameomba kuachana ndio ila its better kujua changamoto ilikuwa ni nini, you might be doing things the wrong way na hajapenda or he is just the crazy one.
Hata ukitaka ku shut down tangazo kwenye simu lazma likuulize je unaonaje au kero yako ilikuwa nini juu ya hili tangazo. Je, its inappropriate, irrelevant, repititive au nini hasa unaona hakijakufurahisha? Ukiwajibu basi wanasema asante kwa mrejesho.
Nimepitia sana cute....sanaaa...lakini ikabidi nikubali to let him go for goodKama ulikuwepo.
Sijakata tamaa mapema ila mpaka hapo niliona tu inatosha niache tu Tolu wangu aende kwa amani huko atakapopata furaha ambayo haipati kwangu
Sjaconclude kuwa yuko wrong ila feedback ni muhimu. We have spent years together. Have alot of plans set up halafu ghafla unatokea tu kusema you feel like quiting.😳Hivi upo seriously kweli umemkomalia huyu manz yupo wrong bro?
I can only say amen cause I have nothing to add.Wanawake wengi wameingia kwenye ndoa kwa sababu ambazo sio sababu
Jamani ndoa ni taasisi na ndoa ni jukumu tena jukumu linalobeba heshma na utu wa mtu.
Lakini hapohapo ndoa sio shurti useme ati kila mtu lazima aoe a kuolewa.
Kumiliki ndoa ni kama kumiliki shamba au nyumba au mifugo au biashra au gari.... sio kila mtu anaweza kumiliki nyumba au gari na kukosa kumiliki hivyo sio dhambi wala sio ujinga au ujanja ila ni uwezo
Ukisema ati ndoa ni heshma au bila ndoa hujakamilika huku unachepuka daily kwa kukosa upendo wa ndoa wewe mpuuzi na mpumbavu wa mwisho ambaye hufundishiki, hujielewi wala hueleweki
Team kataa ndoa ni wanaume ambao bado wanakua na wakiwa wakubwa watabadili mawazo
Ndoa iheshimiwe na watu wote
Umefanya maamuzi mazuri na yenye heshima umeheshimu maamuzi yakeKu move on wote tunachukua muda ila kumng'ang'ania mtu aliyeomba kuachana ni kumkosea heshima
Kumpenda mtu ni pamoja na kukubali kukubali aachane na wewe iwapo kaonesha humpi furaha anayostahili kuipata.
Ili umkabidhi mtoto wa mama mkwe wako haraka!😂Nimesoma tu heading, huo utajiri bado upo? Karibu pm dear