Mwanamke, utakubali tubadilishane unipe MUMEO nani nikupe UTAJIRI WANGU?

Watu huchoka mkuu,hata mkeo sidhani kama ni mwanamke wa kwanza kwako,wapo uliowaumiza Kwa kuwaacha Kwa kuwa halikuwa chaguo lako sahihi
 
Nimependa hizo NYODOZ zako

Anyway adui wa mwanamke ni mwnamke kwa imani yako Mungu akupe hitajio la moyo wako

Ciao
 
Watu huchoka mkuu,hata mkeo sidhani kama ni mwanamke wa kwanza kwako,wapo uliowaumiza Kwa kuwaacha Kwa kuwa halikuwa chaguo lako sahihi
Demu wangu wa kipare ndio nilimuachaga vibaya sababu alikuwa ananibore sana 🤣🤣🤣 Mungu anisamehe tu, kuna siku nimekaona Mlimani City kanashuka kwenye gari n
na dadaake nikaona aibu hata kumsalimia.

She felt the pain haswaa,maana nilimtosa kwa suprise.
 
Njoo nikupe Mimi , hata Mimi ni tolu Fulani hivi
 
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Inaumiza sana
 
Asante kwa darsa mkuu, sasa ebu fanya uchek PM...😋
 
I can only say amen cause I have nothing to add.
Umesema yote ya hekima


Tafuta pesa, mtafute Mungu, tafuta kufanya kile unachokisikia kwenye moyo wako duniani na mwanaume wa kukufaa kama yupo atakuja wala hutomwomba.... ati akuoe🤣

Halafu...... hivi watu walishawahi kukaa wakajiuliza duniani walikuja kufanya nini?
Mtu atakuambia kama huna ndoa pambana walau uwe na mtoto😅

Kina Ibrahimu na wengine wengi hawakupata watoto hadi uzeeni na waliishi....na walipokuja kuzaa walizaa WAFALME na MANABII, wewe unataka watoto bila hata kujiuliza huyo utakayemzaa atakua mtoto wa aina gani😅 matokeo ndio tunaleta hawa wa "kataandoa" na mambo mengine mengi.....

Maana ndoa ni maamuzi yako tuu ila ukishindwa kutumia karama na vipawa Mungu alivyokupa kufanya anayotakiwa kufanya duniani utaulizwaga siku moja
 
Mkuu hakuna mtu anaweza kueleza matatizo ya mahisiano yake kwa undan in public.
 
Ina mtoto/watoto?
 
Siwez kuanika sbb za Tolu kuniacha hapa hadharani ila jua tu hizo sbb sio hizo ulizoainisha hapo chini.

Soma uzi wangu kwa kutulia ni tofaut na ulivyouelewa
 
Sbb ya kuniacha kanipa mkuu ila ni sawa kweli hata kama.nimeachwa kwa kunuka K kila mtu ajue ili msiniite Feminist?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…