Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

Dah.....Dogo mbona unataka kupigwa kifala? Acha ujinga
 
Kwanza ana umri gani tuanzie hapo ?

Mimi nikishaona mtu anaandika Xaxa badala ya sasa , bx au baxi badala ya basi it's a turn off ! yaani hapo inakua nishampima akili yake na kuona ikoje hawa khoi khoi generation ni bure kabisa .
 
Hahaha wewe ni mtoto wa kiume mlaini sana, umewezwa na manwno laini ya katoto ka form 4.
Xxxxx
Kichwani hajakomaa huyo.
We beba zigo lako mkuu seems mnaendana sana na uta handle haka kamzigo.
 
sina namna ya ku control uandishi wake mkuu ila nafurahi kuona nina mwanamke mwepesi kusema samahani..πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

ashakataa kabisa nisimuite jina lake

ashawaambia wazazi wake kwamba namuoa na sina mahariπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu chukua hicho kifaa kama roho imeridhia.
Somehow ni kajanja, unajua mwanamke mjanja hunogesha penzi.
Labda mengine utamfundisha taratibu.

Aachane utoto wa fb wa xxxx
 
Mkuu chukua hicho kifaa kama roho imeridhia.
Somehow ni kajanja, unajua mwanamke mjanja hunogesha penzi.
Labda mengine utamfundisha taratibu.

Aachane utoto wa fb wa xxxx
Mkuu nimetest kumgombeza sana muda huu nimezua tu ugomvi usio na muelekeo.

this is the answer... na anatumia simu ya mama yake
 
Mkuu nimetest kumgombeza sana muda huu nimezua tu ugomvi usio na muelekeo.

this is the answer... na anatumia simu ya mama yake
View attachment 2271624
Haha sitarudia.
Sijui nini ilinipitiaga katika mazingira flani
Nikajikuta nimempatia namba mtoto flan mwenye mwandiko kama huo, ilikuwa kila akinitext najisikia aibu kuwa ilikuwaje hata akawa na namba zangu?.
Unajua nini?
Nilikuwa simjibu akipiga sipokei nikitaka akate tamaa wapi.
Nitaandikiwa gazeti.
Nikijaribu kumwambia wewe ni mdogo tafuta dogo mwenzio aah wapi.

Wanajua kung'ang'ania hao mbona utakoma?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…