Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

Jaribu kuchunguza kama ni kweli na yuko serious kwa anayo yaandika. Kama ni kweli na amedhamiria usimfanye chochote namanisha usile mbususu yake achana nae kama huna nia nae. Ushauri wa bure, sasa kaza fuvu ule mbususu wakati huna mipango nae. Hawa viumbe kama wako serious na ww kisha ww hujali wanaweza fanya lolote, utakuja upigwe kipapai shauri yako.
 
Huyo dogo muhimize asome, jiepushe pia 30yrs behind the bars mkuu, mtu yeyote anayetumia "x" ni mtoto na inakera kama ana kithembe vile😂. Ebu Muache mtoto asome
Wewe mbona wakati unasoma hukuingiliwa kwenye mapenzi yako na ulimpenda jamaa sio poa
 
Huyo dogo muhimize asome, jiepushe pia 30yrs behind the bars mkuu, mtu yeyote anayetumia "x" ni mtoto na inakera kama ana kithembe vile😂. Ebu Muache mtoto asome

hebu niache kwanza huyu keshamaliza shule na Div 4 yake hana shida na serikali😅😅😅

mimi ni mume wake rasmi❤️❤️❣️❣️❣️
 
Yupo serious sana mkuu maana amekuja kama upepo wa kisuli suli.

nimegoma kumpokea, nikapigiwa simu na mama yangu mdogo kaniambia usipomuoa huyo hutokaa upate mwanamke kama huyu..

presha jjuu ya Bp
 
Hii ungeiongezea mchaimchai ili inukie vizuri.
 
Usikute ni mwanafunzi huyo, Umri wake kwanza,unaweza kuta amefokewa na mama yake huko anataka aje kwako.

Kama hawezi tofautisha X na S
Aisee mpaka hapo kashanikosa, haiwezekani unachat mixer x badala ya s au humalizii herufi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] malizia story mzee
 
Wanawake wanaoandika hivyo ni kweli wanatia hata kichefuchefu kusoma sms zao,lakini mtoa mada angalia moyo wako angalia pia uhalisia wa huyo binti tabia zake muonekano wake na anavyokupenda wote tunaokomenti apa hatumjui in person huyo binti…Unaweza kupoteza mke mwema kisa tofaut ya X na S nikutakie kila la kheri japo mimi siwezi [emoji23]napambna na hawa wa degree hadi masters mpaka kieleweke
 
Sio mwanamke huyo sema katoto tena ka primary hako
 
[emoji15][emoji15][emoji15]
Kumbe na wanawake huwa wanashikwa na nyege kama hizi kiasi cha kujitumisha sms mfuatano pasipo kujibiwa? Sasa mbona tukiwaomba waje gheto wanatulia 67k zetu ndani ya siku mbili tokea kuanza mahusiano! [emoji24][emoji24]
[emoji3][emoji3] we jamaa mnafiki sana

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2272002

hataki hata nimuite jina lake... ni mke kwa kwenda mbele
Get Rich Ushauri wangu kwako ni kwamba usisikilize maneno ya humu Sana yanaweza kukupoteza wabongo ni mabingwa wakukatishana tamaa na majungu huyo manzi inaonesha anakupenda haswa sio kwamba anafanya maigizo usimjaji kwa muandiko kabisa hayo mengine ni kwasababu tu umri wake kwahiyo anavyozidi kukuwa hata akili itakuwa Cha msingi na muhimu muoe, hakuna jambo zuri kama ukiingia kwenye ndoa na mwanamke anayekupenda vitu vingine huyo dada atajifunza taratibu taratibu na uwe Mwalimu mzuri kwake mpende na muelimishe baadhi ya mambo muepushe na marafiki ambao sio wazuri wanawake wa aina hii ni rahisi kubadilishwa tabia so kuwa Makini kwenye Hili.Mwanamke kama huyu Unaweza kummudu tofauti na ukutane na wanawake walioshindikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…