Hawa hawana lolote, watazalisha na hawatahudumia ipasavyo.Afu watu huwa wanajali sana hili, wanasahau mtoto kukaa naye mwisho miaka10, baada ya hapo ni shule likizo maisha...
Note: Kwa wale wenye kejeli, ni kweli mimi ni domo zege, kwahiyo msirudie rudie hilo hapa.[emoji1752]Amani iwe kwenu wapendwa.
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 40 BILA MTOTO WALA MKE (ni member wa muda humu, sema nimeamua kutumia id tofauti ili kutunza heshima).
Ni mtumishi kwenye kampuni binafsi inayoendesha shughuli zake Dar es Salaam. Kwa nyakati tofauti nimekuwa na mahusiano na wadada tofauti lakini naona hakuna ambayo yalifikia kwenye ndoa.
Kuna wakati huwa najifikiria labda mimi ndiyo nina kasoro lakini mwishowe naishia kusema labda mimi sikubahatika.
Kwa sasa, suala la kutengeneza mahusiano kwangu limekuwa changamoto, kazi yangu inanibana sana, mambo yangu binafsi, pia naona uzee umeingia kiasi kwamba nashindwa kuendana na mahitaji ya wadada wengi kama kuwasiliana mara kwa mara, kuvumiliana vumiliana vitu ambavyo ukiviangalia unaona kabisa hapa mtu alitakiwa ajielewe.
Hivyo,
Naona ni wakati nitafute mwanamama/mdada wa kuzaa naye mtoto tushirikiane kumlea pamoja.
Vigezo:
~ Awe tayari kupima afya
~ Awe mkristo umri na rangi yoyote
~ Awe na akili akili kidogo
~ Asiwe anawaza tu ndoa akilini mwake
~ Awe tayari kumpima DNA mtoto baada ya kujifungua.
MIMI,
Nitajitolea gharama zote za kumtunza wakati wa ujauzito (maisha ya kawaida tu lakini, yasiwe luxury sana), hata baada ya kujifungua nitaendelea kutoa matumizi ya mtoto.
Naomba kuwasilisha.
Note: Kwa wale wenye kejeli, ni kweli mimi ni domo zege, kwahiyo msirudie rudie hilo hapa.
Mnyonyeshe hata miezi 10 afu nitamchukua. Pia nawewe hupotezi haki ya kuwa mzazi wake.Hawa hawana lolote, watazalisha na hawatahudumia ipasavyo.
Kama vipi wamchukue mtoto akisha zaliwa ana siku moja kama wafanyavyo wazungu.
Ukitaka ufanikishe hili bila matatizo hapo baadae andaa mkataba unaotambulika. Mkubaliane na huyo mwanamke.Mnyonyeshe hata miezi 10 afu nitamchukua. Pia nawewe hupotezi haki ya kuwa mzazi wake.
Nakazia hapa, alaf ndani kakomenti na ID yake kongwe kutupotezaHuyu ni mzabzab kaja na ID mpya
Wee sii useme tuu kuwa huyo mwenzie ni mzabzab. Mie sina noma mzeya kitukanwa kwenye hili🤣🤣🤣🤣Kuna maisha mengine kipindi unayaanza unajiona mjanjaaa lakini ukija gundua kuwa kumbe ulipotea njia 20 yrs ago....depression inaanza. 40 yrs bila mke? Hivi huko kwenu daslama ubize wenu hauishi?
Member kama huyu ukute hilo wazo kapewa na mwenzie....wametumia siku nzima kulijadili hatimae amefika hapa. So pathetic.
Hamna bwana huyo ni mwengine. Sie ma senior bachelor sasa tunaisoma namba. Nilidhani nipo peke yangu ila kumbe tupo wengi.Nakazia hapa, alaf ndani kakomenti na ID yake kongwe kutupoteza
Vavulensi hiyo mkuu[emoji3]Hiyo hiyo id ya zamani ingesaidia kuliko hii mpya [emoji23]
Tena lile lenye mwanga(nuru) mzuri lisilochoma kama la utosiniKumbe na wanaume inafika wakati jua linazama
Sema jua lao linazama kistarabu kama la mleta mada [emoji4]
mmH Je kipimo kipi kitatumika kusema huyu sahihi ana akili kidogo?~ Awe na akili akili kidogo
Huyu anatafuta ili mtoto awe wake, yule naye alikuwa anatafuta ili mtoto awe wake.Kuna mjumbe alikuwa anatafuta mume wa kuzaanae majuzi hapa!!
hili halina tatizo kabisa, ndo sababu ya kutafuta watoto pia, najiulizaga, hivi vitu navyotafuta, naamka mapema kufanya kazi kwa bidii, incase! vinabaki kwa nani?Ukitaka ufanikishe hili bila matatizo hapo baadae andaa mkataba unaotambulika. Mkubaliane na huyo mwanamke.
Pia uandike wosia mapema umrithishe mtoto ulichonacho kabla hujadead uwaachie wengine mzigo.
Kupigana shaba hakukwepeki mkuu wale viumbe achana nao tu.Alafu tabia mbaya hiyo ujue. Watu wanataka kukwepa mambo ya kupigana shaba ndio maana maombi ya kuzalisha tuu bila ndoa yanaanza kuja kwa kasi.
Sasa unaona nilianzisha mie naona wengine wanafungika sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sina tatizo la kiafya mkuu, pia ninakutana na wanawake wananipenda kweli, ila tunashindwana hapo kwenye kutaka mtoto tuu, wengi wanataka ndoa kwanza, kitu ambacho mimi sioni maana yakeMwanaume jua linazama kuanzia miaka 60 huko, miaka 40 ndio penyewe Sasa, wanawake wako wa kutosha kabisaa Kuna mwingine alikuwa anahitaji mwanaume wa kuzaa naye tu.
Swali nje ya maada..... Kwamba hao uliokutana nao tangu ulipoanza kukutana nao hakuna hata Mmoja ambaye amekupenda Yuko Tayari hata kulala njaa Ili umuoe?? Au unatatizo la kiafya??? Ambalo umeshindwa kuliweka wazi
Kweli hawa wanawake na pesa ni balaa. Hawataki kutumia zao, ni zetu tuu.Kupigana shaba hakukwepeki mkuu wale viumbe achana nao tu.
Hata kama mnaishi tofauti na mnalea mtoto tu ataleta zile za kukudanganya mtoto anaumwa tuma hela kumbe anataka hela apeleke vicoba.
Nilisema wamjengee kwanza huyo mtoto au watoto wakakimbiaWe hutaki offer hiyo?
Aisee ....wee ni pacha wangu nini? Mbona mawazo tunaendana?sina tatizo la kiafya mkuu, pia ninakutana na wanawake wananipenda kweli, ila tunashindwana hapo kwenye kutaka mtoto tuu, wengi wanataka ndoa kwanza, kitu ambacho mimi sioni maana yake
Mie nipo tayari kumjenga mtoto ila hati linaandikwanjina la mtoto sio weweNilisema wamjengee kwanza huyo mtoto au watoto wakakimbia