Mwanamke wa kuwa Mchepuko rasmi anahitajika

Yaani mchepuko awe na uwezo was kujitegemea?we ulisikia wapi?
Sasa Mchepuko ambaye hawezi kujitegemea uyo hana Akili ya maisha na atakua mzigo kwangu
Lakini wewe hata kama huna Uwezo wa kujitegemea ebu njoo tu tuyajenge kwanza
 
VIGEZO na MASHARTI yamekua Magumu?
Naomba nifanye Ammendments kidogo
Nahitaji na natafuta Mwanamke wa kua MCHEPUKO RASMI NA WA KUDUMU
* Awe na umri wa Miaka 20 - 40
*Awe mzuri wa Sura na umbo(mrembo) na awe mzuri wa tabia(Kigezo kikubwa)
NB; Nitamuhudumia kwa kilakitu katika mahitaji ya msingi(Basic needs)
 
Mbona naona matangazo mengi ya Wanawake wanaohitaji Wapenzi lakini Tangazo langu halijapata Majibu?
Jamani bado naendelea kutafuta; Kwa msichana anayehitaji kuwa Mpenzi Mchepuko unakaribishwa sana nitakuhudumia kwa kila hitaji
Daaaah unakuja na moto !!! Mkeo hajakupa miaka mingapi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…