Mwanamke wa kuwa Mchepuko rasmi anahitajika

Mwanamke wa kuwa Mchepuko rasmi anahitajika

Wenzako michepuko imetuelemea mpaka tunaikimbia job,kuna mchepuko mtaani kuna mchepuko nyumba ya tatu jirani yangu, tigo pesanae mchepuko,dada wa sheri muweka mafutanae mchepuko,bank taller nae mchepuko we michepuko tunaikimbia mana inatutia umasikini nimeona bora nitulie tuu na mke wangu kipenzi mama 7 wangu kipenzi bro michepuko sio dili wewe mkeo ishi nae kikoloni mtakaa sawa tuu ila mchepuko sikushauri tulia na mkeo mm uwo ushenzi nimeufanya ila umenitia hasara tuu...mans mkipanga ku date c chini ya 50k au 100k mm ilifika mda nilipangaga chumba mbali ns nyumbani kwangu wife akujua iko chumba kilikuwa special kwa michepuko tuu mana niliona garama imekubwa juu niliweka kila kitu ndani iko chumba kitanda kizuri makoch tv ukutani sabufa nn gesi yani kila kitu niliweka ila badae nilikuja ona ni upuuzi kile chumba nimempa mtoto wa dada angu yuko chuo anasoma alikosa hostel anaishi yeye pale michepuko aina ishu mkuu tulia na mkeo muyajenge maisha wanawake ni wale wale tuu...ila akili kumkichwa kama utaki tafuta mchepuko utakuja simulia hapa...
Asee, ulifikia stage mbaya Sana
 
Jamani nyie wanawake kwani hamtaki kuwa Mchepuko? Kwa namna hii nitaletaje mrejesho hapa? Ebu kujeni pm jamaani
 
Back
Top Bottom