Mwanamke wa kuwa Mchepuko rasmi anahitajika

Mwanamke wa kuwa Mchepuko rasmi anahitajika

Jamani nyie wanawake/wasichana mbona unaishia Kusoma tu huu uzi bila kuzama Pm? Please njoeni pm
 
Mkuu, mimi binafsi maomba nikupongeze sana kwa ujasiri na uwazi wako.
Ukweli ni kwamba, wanaume wengi tumekua na hitaji hili ingawa huwa tunajifanya wema sana hapa jf, ilhali tupo kwenye uhitaji wa spare tyre..
Mkuu Ushimen na wewe unahitaji spare tyre?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Wenzako michepuko imetuelemea mpaka tunaikimbia job,kuna mchepuko mtaani kuna mchepuko nyumba ya tatu jirani yangu, tigo pesanae mchepuko,dada wa sheri muweka mafutanae mchepuko,bank taller nae mchepuko we michepuko tunaikimbia mana inatutia umasikini nimeona bora nitulie tuu na mke wangu kipenzi mama 7 wangu kipenzi bro michepuko sio dili wewe mkeo ishi nae kikoloni mtakaa sawa tuu ila mchepuko sikushauri tulia na mkeo mm uwo ushenzi nimeufanya ila umenitia hasara tuu...mans mkipanga ku date c chini ya 50k au 100k mm ilifika mda nilipangaga chumba mbali ns nyumbani kwangu wife akujua iko chumba kilikuwa special kwa michepuko tuu mana niliona garama imekubwa juu niliweka kila kitu ndani iko chumba kitanda kizuri makoch tv ukutani sabufa nn gesi yani kila kitu niliweka ila badae nilikuja ona ni upuuzi kile chumba nimempa mtoto wa dada angu yuko chuo anasoma alikosa hostel anaishi yeye pale michepuko aina ishu mkuu tulia na mkeo muyajenge maisha wanawake ni wale wale tuu...ila akili kumkichwa kama utaki tafuta mchepuko utakuja simulia hapa...
Ila huu mwandiko mkuu, waweza kuta wewe ni afisa elimu sehemu fulani

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
VIGEZO na MASHARTI yamekua Magumu?
Naomba nifanye Ammendments kidogo
Nahitaji na natafuta Mwanamke wa kua MCHEPUKO RASMI NA WA KUDUMU
* Awe na umri wa Miaka 20 - 40
*Awe mzuri wa Sura na umbo(mrembo) na awe mzuri wa tabia(Kigezo kikubwa)
NB; Nitamuhudumia kwa kilakitu katika mahitaji ya msingi(Basic needs)
Mkuu wew una miaka mingapi mpaka mchepuko uwe na miaka 40 [emoji848][emoji848][emoji848]?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom