Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

Upo sahihi San mkuu, lakini nadhani kun kitu unakiacha nyuma ambacho ni Sambamba na hilo.

Kwa kuanzia;
Utamaduni wa democrasia ktk familia umetokea ulaya(siyo Jambo baya) ,lakn hao watu wa ulaya kulikamilisha Hilo pia kun baadhi ya tamaduni hazipo ambazo ndio chanzo cha kumfanya au kumjenga kifikra mwanaume kuw anahaki ya kunyenyekewa na mkewe.

mfano
1.Mwanaume kuw Kama mtafutaji wa familia,Jambo hili cyo baya kulingana na maumbile ya mwanaume kuweza kustahimiri mazingira mengi ya hatr.

Hii Inamfanya mwanaume atake kusaidiwa kazi nyingn na mkewe hasa hizo za nyumbn Mana tayar anamajukumu yake( kuleta mkate nyumbn).

2.Mwanaume kulipa mahari,hili nalo litolewe,man Kam unamlipia mke mahari milion 1 au 2 na mengine kwann asiwe chini yako.

Hili pia zungumzia.

3.Mwanamke asiwe tegemezi kwa mwanaume,ni ngumu San mtu unaye mpa kila hitaji lako asiwe chini yako.

Hivo hayo ni baadhi tu ya mambo ambayo inapaswa yaachwe ndio nikubaliane na mawazo yako.
 
Akitaka kuishi ndoto zake akae kwao
 
Tushukuru tulioolewa na wanaume waelewa wenye demokrsia wanajali basi raha tuu. Mume anajua umechoka anakwambia waifu subiri jmosi tufue wote au tafuta mtu afue au usipike kwa vile leo tulikua shamba basi twendeni tukale na familia out. Sasa mume kama huyu unaachaje kumkubali asee
 
Tuwawezeshe ili tukifa waendelee kuishi bila tatizo
 
Sasa wenzako wanakaa hata kumpelea mumuwe maji ya kuoga, kumlisha mumewe eti wanadai ni utumwa
 
Mleta mada hapa kapuyanga pakubwa, sijui aliwaza nini, au alikuwa na maana gani.

Nyakati zimebadilika sana, ila mwanaume habadiliki na nafasi yake haina substitute, ieleweke hivyo.
 
The way unavyoongea utadhani wanawake wote wataolewa na kuwa wategemezi tu kwa waume zao!!! Nadhani unaona hata kupeleka mtoto wa kike shule ni hasara. Vipi kuhusu wanawake ambao hawatapata ndoa unataka waishije?
 
The way unavyoongea utadhani wanawake wote wataolewa na kuwa wategemezi tu kwa waume zao!!! Nadhani unaona hata kupeleka mtoto wa kike shule ni hasara. Vipi kuhusu wanawake ambao hawatapata ndoa unataka waishije?
Kumbe ambao hawajaolema sasa mbona jibu unalo
 
Kwani hana mume? Hayo aliyoandika amesema ndiyo anayomfanyia mume wake.
 
Heheheh jiandae kulea single maza mzee baba
 
Ndiwoooo πŸ˜ƒ ni kama vifo vitokanavyo na magari, ndege na vinginevyo lakn hatuachi kuvitumia kwa usafiri.
Au sio utalia na kuapa kuwa hutapanda tena lakini baaada ya muda umerudi kuvipanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…