EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Uzi umeandaliwa na mwanamke halafu mvulana kauleta humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitu gani upewe maelezo zaidiHahaha nimejifunza lkn kunavitu hapna
Akitaka kuishi ndoto zake akae kwaoSahii kabisa[emoji106]
Mtoa mada anaondoa maana Halisi ya kuoa.
Nikazie kwamba
Mwanamke Hana ndoto zake, anaishi kwa mwanaume ili kutimiza ndoto za mwanaume wake kwa ajili ya kizazi chake.
Ndo maana
akiolewa analipiwa mahali,
anabatizwa na kupewa ubini wa mume wake,
Na akifa anazikwa kwa mume wake,
Na sio sehem ndoto zake zinapomtuma.
Huu ukisasa wanaotuletea Ni UPUMBAVU kabisa[emoji3525]
Sasa wenzako wanakaa hata kumpelea mumuwe maji ya kuoga, kumlisha mumewe eti wanadai ni utumwaTushukuru tulioolewa na wanaume waelewa wenye demokrsia wanajali basi raha tuu. Mume anajua umechoka anakwambia waifu subiri jmosi tufue wote au tafuta mtu afue au usipike kwa vile leo tulikua shamba basi twendeni tukale na familia out. Sasa mume kama huyu unaachaje kumkubali asee
The way unavyoongea utadhani wanawake wote wataolewa na kuwa wategemezi tu kwa waume zao!!! Nadhani unaona hata kupeleka mtoto wa kike shule ni hasara. Vipi kuhusu wanawake ambao hawatapata ndoa unataka waishije?Yani wewe na mauchawi yako yote umeshindwa kutambua mwanaume na mwanamke ni viumbe tofauti, walioumbwa tofauti kwa ajili ya majukumu tofauti na ya kwamba mwanamke yupo kwa ajili ya kumsaidia mwanaume kutimiza maono kwa ajili ya familia ?! Sasa kama hata hilo haujui, mauchawi yako yanafaida gani ?!
Kama kanunu rahisi kabisa za ulimwengu zinakupiga chenga.
Kwa mawazo kama haya ndio maana wanawake wengine wakiona unachelewa kufa wanakutangulizaTuwawezeshe ili tukifa waendelee kuishi bila tatizo
Kumbe ambao hawajaolema sasa mbona jibu unaloThe way unavyoongea utadhani wanawake wote wataolewa na kuwa wategemezi tu kwa waume zao!!! Nadhani unaona hata kupeleka mtoto wa kike shule ni hasara. Vipi kuhusu wanawake ambao hawatapata ndoa unataka waishije?
Ndiwoooo 😃 ni kama vifo vitokanavyo na magari, ndege na vinginevyo lakn hatuachi kuvitumia kwa usafiri.But yet u wana get married to one🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani hana mume? Hayo aliyoandika amesema ndiyo anayomfanyia mume wake.Wewe ndio mwanamke halisi sasa umeupiga mwingi sana eti Mwanamke kumuwekea Mume wake ni utumwa mtoa mada ni ovyo Sana dada ukiendelea na principle yako hii utapata Mume wakukuoa achana na hawa wanaharakati uchwara wanafanya wanawake wengi wasiwe na heshima na waume zao
Kumlisha!!!🙄🙄🙄 for how long are you going to be doing that?Sasa wenzako wanakaa hata kumpelea mumuwe maji ya kuoga, kumlisha mumewe eti wanadai ni utumwa
Si mapenzi mkuu unafanya hivyo pale unapojisikiaKumlisha!!!🙄🙄🙄 for how long are you going to be doing that?
Heheheh jiandae kulea single maza mzee babaHuu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi
Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke msomi na asiye msomi tujue tunaelezea hizo sifa tukiwa katika era ipi.
mfano:
1. Mwanamke msomi mwenye kazi hatakuheshimu. Hapa itategemea unaishi naye kwa namna gani. Wanawake wa sasa sio wa Miaka ya 90 awe ana kazi asiwe na kazi hawataki kuburuzwa. hapa ni mwanaume kujua kuwa mtemi imeshapitwa na wakati ....ongoza Familia kidemokrasia. Ni afadhali kuwa na mwanamke msomi asiyeniheshimu kuliko niwe na mwanamke asiyemsomi anayeniheshimu kwasababu namzidi kila kitu.
2. Ukirudi kutoka kazini haupokelewi vizuri. What for? hili nalo na kulilia! ingia ndani salimiana ndani kwa ndani sio lazima mwanamke akukimbilie kama mbwa. Amechoka kumbuka naye Ametoka kazini.
3. Hatapata muda wa kuwatunza watoto na kuijali Familia. Wanaume tuwe wakweli kwenye hili. Ni nani anataka mwanae wa kike akawe mama wa nyumbani? be honest... Nataka mwanangu wa kike awe mtu kwenye watu..sio Mwanamke wa kukimbilia mijanaume iktoka kazini.
Wanawake wana ndoto zao kama ilivyo kwetu...wanahitaji kufanya kazi au kumiliki biashara zao.
4. Tendo la Ndoa itakuwa ishu. Hapa wote mtakuwa mnachoka..ila bado unanafasi kubwa ya kurekebisha hili..mtoe wife out weekend sehemu tofautitofauti...utaona tofauti. Sex sio maji kila siku mnadandiana.
Kwa ufupi nasema Dunia imebadilika na tuwe wakweli kulikubali hili na litatusaidia namna ya kuishi na mwanamke wa sasa.[/b]
Au sio utalia na kuapa kuwa hutapanda tena lakini baaada ya muda umerudi kuvipandaNdiwoooo 😃 ni kama vifo vitokanavyo na magari, ndege na vinginevyo lakn hatuachi kuvitumia kwa usafiri.
Nyie mna umuhimu sana basi tu kuna muda mambo yanavurugika but haiondoi ukweli.Au sio utalia na kuapa kuwa hutapanda tena lakini baaada ya muda umerudi kuvipanda
Jamani ndio maana i will always have a crush on u 😍😍😍Nyie mna umuhimu sana basi tu kuna muda mambo yanavurugika but haiondoi ukweli.