Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

Ni afadhali kuwa na mwanamke msomi asiyeniheshimu kuliko niwe na mwanamke asiyemsomi anayeniheshimu kwasababu namzidi kila kitu.
Aisee!

Samahani nimekosea uzi.Bakini na uzi wenu,umenishinda tabia.

🏃🏽
 
Fact kbisa hakuna ndoa hapo
 

Mpo wachache sana mwingine anakuambia nimekuoa ufanye nini?
 
fikiria siku ukakufwa zako, afu mkeo mama wa nyumbani na watoto 5, atawahudumia vipi? ndugu acheni wake zenu wapambane km mnavyo pambana
Mwanaume gani muoga wa maisha hivyo?
Hunaga akiba?
Hunaga assets?
Hunaga ndugu,jamaa na marafiki?

Au unaishi TU ilimradi kumekucha, tule yote leo ya kesho anayajua mungu?
 
Sahii kabisa,
Mtoa mada amefeli Sana ktk hili,
Kajivua nguo kabisa, uanaume wake uko mashakani[emoji4]
 
Karogwa sio bure[emoji4]
 
Una hoja za msingi Sana
Asipokujib atakua hayuko serious na uzi wake
 
Kumtafuna mtu afue au kukupeleka cafe na kulipia bill Ni sehemu ya uwajibikaji Kama mume.

Maana inayotumika Ni pesa,Lile jasho halisi la mwanaume
Mimi pia naifanya sana kwa MKE wangu

Ila sio eti nikalishe makalio kwenye kigoda tufue au tuoshe vyombo kibarazani na MKE wangu. Ni hapana aisee[emoji4]
 
Mleta mada hapa kapuyanga pakubwa, sijui aliwaza nini, au alikuwa na maana gani.

Nyakati zimebadilika sana, ila mwanaume habadiliki na nafasi yake haina substitute, ieleweke hivyo.
Sahii kabisa,
Hata wanawake wenyewe wanaolilia 50/50 Kuna MDA hiyo fifty fifty wnaiweka pembeni na kusema
"wee SI Ndo mwanaume?"

Maana ake hapo lazima urejee kwenye nature yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…