Uyu mtoa mada Ni mzee wa ganda la ndizi,Hapa huwa nawashangaa sana, yaani Mwanaume unaanzaje kuwaza kusaidiwa na Mwanamke yaani msaidiane kuendesha familia, hilo ni jukumu letu sisi Wanaume peke yetu.
Sahii kabisa,Ubaya wa mwanamke msomi hata uishi nae vizuri kwa muda gani atakuja kubadilika tu akikutana na wanaharakati wenzake wakianza kumjaza ujinga hapo ndo utakuwa mwisho wako wakati huo mna watoto na mmeshajenga hapo ndo ujiandae kuhudhuria mahakamani.
Unamjaza Ujinga mwenzioUmenena vyema...
Nasisi tunachoka...maana tunafanya kazi kama wanaume...
Pia kusaidiana majukumu ni muhimu, hivyo ndio maana tunafanya kazi...
Kuna kufa, ajali...
Hapa mwanamke anaendeleza familia..bila kuwa na woga...
Uje PM upate zawadi Daby
Na mwanamke asiyekuheshimu hata akupende vipi, hawezi kuleta ushawishiwa wowote.No matter her profile in the society, heshima ni lazima. Hata awe na dunia yote, mwanamke ni lazima aniheshimu...sitalazimisha, ila itakuja automatically...
Kaandika pumba tupu,Ameumaliza mwendo,,,,na hajapigana Vita yoyote kama Mwanaume....
Tatizo vijana hawajui wanaoa ili iweje.Vijana wa sasa bado wanaamini kwamba wakishaoa wanakua walemavu, kila kitu wafanyiwe.
Fanya mambo yako mwenyewe uwahi mishemishe zako za kujipatia mkate wa kila siku
Hujaoa,subiri ukioa utaelewaHuu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi
Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke msomi na asiye msomi tujue tunaelezea hizo sifa tukiwa katika era ipi.
mfano:
1. Mwanamke msomi mwenye kazi hatakuheshimu. Hapa itategemea unaishi naye kwa namna gani. Wanawake wa sasa sio wa Miaka ya 90 awe ana kazi asiwe na kazi hawataki kuburuzwa. hapa ni mwanaume kujua kuwa mtemi imeshapitwa na wakati ....ongoza Familia kidemokrasia. Ni afadhali kuwa na mwanamke msomi asiyeniheshimu kuliko niwe na mwanamke asiyemsomi anayeniheshimu kwasababu namzidi kila kitu.
2. Ukirudi kutoka kazini haupokelewi vizuri. What for? hili nalo na kulilia! ingia ndani salimiana ndani kwa ndani sio lazima mwanamke akukimbilie kama mbwa. Amechoka kumbuka naye Ametoka kazini.
3. Hatapata muda wa kuwatunza watoto na kuijali Familia. Wanaume tuwe wakweli kwenye hili. Ni nani anataka mwanae wa kike akawe mama wa nyumbani? be honest... Nataka mwanangu wa kike awe mtu kwenye watu..sio Mwanamke wa kukimbilia mijanaume iktoka kazini.
Wanawake wana ndoto zao kama ilivyo kwetu...wanahitaji kufanya kazi au kumiliki biashara zao.
4. Tendo la Ndoa itakuwa ishu. Hapa wote mtakuwa mnachoka..ila bado unanafasi kubwa ya kurekebisha hili..mtoe wife out weekend sehemu tofautitofauti...utaona tofauti. Sex sio maji kila siku mnadandiana.
Kwa ufupi nasema Dunia imebadilika na tuwe wakweli kulikubali hili na litatusaidia namna ya kuishi na mwanamke wa sasa.[/b]
Kaa hivyo hivyo. Pokea tu hivyo hivyo bila kureason. Ukifika miaka 50 tafuta wa kukuoa hapa JF kwa mada za "Nataka mume wa kunioa" na uweke vigezo. Tutakuja tu PM.Kuna familia moja naiona yani ety mkewe akiondoka atakusanya nguoo chafu mpka mkewe arud......akitoka kazni kila kitu anfnyiwa na mkewe had maji ya kunywa anatengewaa...mpaka nahis kuolewa utumwa
Tena maombi mazito. Nilidhani nashangaa mimi peke yangu.Demokrasia.!??
Kuishi na Mke asiyekuheshimu mkuu unaona ni sawa..!??????...
Hakika WANAUME tunahitaji maombi..
The unpaid Seller toa neno Bro.
Acheni kuwapotosha mabinti, mnawaharibu.Kwani kuna siku wanaume mmewahi kuwa na sababu za msingi za kuwa na michepuko? Hata mfanyiwe yote ulimwenguni hapa mkiamua kutoka nje mnatoka.
Sioni tatizo kwenye andiko laHuu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi
Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke msomi na asiye msomi tujue tunaelezea hizo sifa tukiwa katika era ipi.
mfano:
1. Mwanamke msomi mwenye kazi hatakuheshimu. Hapa itategemea unaishi naye kwa namna gani. Wanawake wa sasa sio wa Miaka ya 90 awe ana kazi asiwe na kazi hawataki kuburuzwa. hapa ni mwanaume kujua kuwa mtemi imeshapitwa na wakati ....ongoza Familia kidemokrasia. Ni afadhali kuwa na mwanamke msomi asiyeniheshimu kuliko niwe na mwanamke asiyemsomi anayeniheshimu kwasababu namzidi kila kitu.
2. Ukirudi kutoka kazini haupokelewi vizuri. What for? hili nalo na kulilia! ingia ndani salimiana ndani kwa ndani sio lazima mwanamke akukimbilie kama mbwa. Amechoka kumbuka naye Ametoka kazini.
3. Hatapata muda wa kuwatunza watoto na kuijali Familia. Wanaume tuwe wakweli kwenye hili. Ni nani anataka mwanae wa kike akawe mama wa nyumbani? be honest... Nataka mwanangu wa kike awe mtu kwenye watu..sio Mwanamke wa kukimbilia mijanaume iktoka kazini.
Wanawake wana ndoto zao kama ilivyo kwetu...wanahitaji kufanya kazi au kumiliki biashara zao.
4. Tendo la Ndoa itakuwa ishu. Hapa wote mtakuwa mnachoka..ila bado unanafasi kubwa ya kurekebisha hili..mtoe wife out weekend sehemu tofautitofauti...utaona tofauti. Sex sio maji kila siku mnadandiana.
Kwa ufupi nasema Dunia imebadilika na tuwe wakweli kulikubali hili na litatusaidia namna ya kuishi na mwanamke wa sasa.[/b]
Kama wanaume wa sasa tuko hivi basi wanawake wa sasa wanakila sababu ya kuwa single mothers. Kwa kifupi huu sio uanaume unaoweza kukufanya ukawa na familia na kuimudu(kuicontrol).Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi
Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke msomi na asiye msomi tujue tunaelezea hizo sifa tukiwa katika era ipi.
mfano:
1. Mwanamke msomi mwenye kazi hatakuheshimu. Hapa itategemea unaishi naye kwa namna gani. Wanawake wa sasa sio wa Miaka ya 90 awe ana kazi asiwe na kazi hawataki kuburuzwa. hapa ni mwanaume kujua kuwa mtemi imeshapitwa na wakati ....ongoza Familia kidemokrasia. Ni afadhali kuwa na mwanamke msomi asiyeniheshimu kuliko niwe na mwanamke asiyemsomi anayeniheshimu kwasababu namzidi kila kitu.
2. Ukirudi kutoka kazini haupokelewi vizuri. What for? hili nalo na kulilia! ingia ndani salimiana ndani kwa ndani sio lazima mwanamke akukimbilie kama mbwa. Amechoka kumbuka naye Ametoka kazini.
3. Hatapata muda wa kuwatunza watoto na kuijali Familia. Wanaume tuwe wakweli kwenye hili. Ni nani anataka mwanae wa kike akawe mama wa nyumbani? be honest... Nataka mwanangu wa kike awe mtu kwenye watu..sio Mwanamke wa kukimbilia mijanaume iktoka kazini.
Wanawake wana ndoto zao kama ilivyo kwetu...wanahitaji kufanya kazi au kumiliki biashara zao.
4. Tendo la Ndoa itakuwa ishu. Hapa wote mtakuwa mnachoka..ila bado unanafasi kubwa ya kurekebisha hili..mtoe wife out weekend sehemu tofautitofauti...utaona tofauti. Sex sio maji kila siku mnadandiana.
Kwa ufupi nasema Dunia imebadilika na tuwe wakweli kulikubali hili na litatusaidia namna ya kuishi na mwanamke wa sasa.[/b]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji15][emoji1][emoji15][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwanamke anataka afunguliwe mlango wa gari kwani yeye hawezi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani wewe na mauchawi yako yote umeshindwa kutambua mwanaume na mwanamke ni viumbe tofauti, walioumbwa tofauti kwa ajili ya majukumu tofauti na ya kwamba mwanamke yupo kwa ajili ya kumsaidia mwanaume kutimiza maono kwa ajili ya familia ?! Sasa kama hata hilo haujui, mauchawi yako yanafaida gani ?!
Kama kanunu rahisi kabisa za ulimwengu zinakupiga chenga.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwanamke anataka afunguliwe mlango wa gari kwani yeye hawezi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]