Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Namba 3. Haujajibu hoja umeleta porojo na preference eti nani hataki bla bla blah acha habari ya nani hataki jibu hoja ni kweli au sio kweli mwanamke mwenye ajira hana muda wa kulea watoto, watoto wanalelewa na house girl.
Kwani jukumu la kulea watoto ni la nani? ukipata jibu hili basi shughuli imeisha.
 
Neno maono mnalitumia vile mnataka! Ndugu yangu kila binadamu aliyepo duniani ana kusudi la kuwepo duniani, ukilitambua hili hutakuwa na sababu ya kwanini usimsapot mkeo kwenye kusudi lake la kuwepo duniani.
 
fikiria siku ukakufwa zako, afu mkeo mama wa nyumbani na watoto 5, atawahudumia vipi? ndugu acheni wake zenu wapambane km mnavyo pambana
 
Kusudi lake ni kumsaidia mwanaume atimize malengo na maono ya mumewe. Amhudumie, awalee watoto, ampatie mwanaume faraja, sex nk. Hilo ndio kusudi lake
 
fikiria siku ukakufwa zako, afu mkeo mama wa nyumbani na watoto 5, atawahudumia vipi? ndugu acheni wake zenu wapambane km mnavyo pambana
Kwani nilioa kwa ajili ya "siku nikifa" au kwa ajili ya kuijenga familia ?! Tuwaache wanawake zetu "wapambane" ?! Mwanaume nihangaike mke nae apambane sasa hapo tofauti ya mume na mke iko wapi ?! Si ni kama nimeoa limwanaume lenzangu ?!
 
Hivi hizi mada huwa mnaanzisha kwa ajili ya kutafuta sifa ili muwavue kyupi maadvocate wa 50/50 humu jukwaani au?. Hiki ulichoandika huku uraiani hakipo applicable kabisa, hakuna mwanaume nishawahi ona anaendesha ndoa kwa misingi hiyo.

Ok labda tukubaliane kutokukubaliana kwasababu katiba ina ruhusu uhuru wa kutoa maoni labda pia huenda ndio muendelezo wa wanaume wa Dar na Mikoani imehamia mpaka kwenye ndoa na sasa ni Mme wa Dar vs Mikoani.
 
Kusudi lake ni kumsaidia mwanaume atimize malengo na maono ya mumewe. Amhudumie, awalee watoto, ampatie mwanaume faraja, sex nk. Hilo ndio kusudi lake
wewe unawezaje kujua kusudi la mwanamke ambaye hukumuumba? Tuwe na uhalisia, wewe unamuhudumia mkeo 100%? km jibu ni ndiyo basi Uzi huu haukuhusu.
 
Kwani nilioa kwa ajili ya "siku nikifa" au kwa ajili ya kuijenga familia ?! Tuwaache wanawake zetu "wapambane" ?! Mwanaume nihangaike mke nae apambane sasa hapo tofauti ya mume na mke iko wapi ?! Si ni kama nimeoa limwanaume lenzangu ?!
kwasababu hutak kufahamu Wala kuona mbali. Komalia hapo hapo.
 
kwasababu hutak kufahamu Wala kuona mbali. Komalia hapo hapo.
Wewe unaeona mbali ndio unaona kua majukumu ya mwanaume ni sawa na ya mwanamke ?! Kama wewe ni mwanaume basi ni mwanaume zoba, goi goi, mario au vyote kama wewe ni mwanamke basi ni dume jike na hauna haiba ya mwanamke kama asili inavyompasa mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…