Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,593
- 8,595
[emoji38][emoji38][emoji38]Yani wewe na mauchawi yako yote umeshindwa kutambua mwanaume na mwanamke ni viumbe tofauti, walioumbwa tofauti kwa ajili ya majukumu tofauti na ya kwamba mwanamke yupo kwa ajili ya kumsaidia mwanaume kutimiza maono kwa ajili ya familia ?! Sasa kama hata hilo haujui, mauchawi yako yanafaida gani ?!
Kama kanunu rahisi kabisa za ulimwengu zinakupiga chenga.