Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

Yani wewe na mauchawi yako yote umeshindwa kutambua mwanaume na mwanamke ni viumbe tofauti, walioumbwa tofauti kwa ajili ya majukumu tofauti na ya kwamba mwanamke yupo kwa ajili ya kumsaidia mwanaume kutimiza maono kwa ajili ya familia ?! Sasa kama hata hilo haujui, mauchawi yako yanafaida gani ?!

Kama kanunu rahisi kabisa za ulimwengu zinakupiga chenga.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Namba 3. Haujajibu hoja umeleta porojo na preference eti nani hataki bla bla blah acha habari ya nani hataki jibu hoja ni kweli au sio kweli mwanamke mwenye ajira hana muda wa kulea watoto, watoto wanalelewa na house girl.
Kwani jukumu la kulea watoto ni la nani? ukipata jibu hili basi shughuli imeisha.
 
Kama wanandoto zao kwanini wasiolewe na ndoto zao ?!! Usasa unawaharibu na wanaume mario ndio mnatetea huu ujinga kina team Uchebe.

Ok Uchebe nikujuze tu mume ndio hubeba maono ya familia na ni jukumu lake kwa asili yake na mwanamke yupo kumsaidia mume kufikia malengo SIO KUJA NA MAONO NA MANDOTO YAKE.

Ndio maana ndoa zenu zinawaya waya kama machela, mwanaume anataka familia ielekea Kaskazini mwanamke anataka ielekee Mashariki hakuna maono ya pamoja.
Neno maono mnalitumia vile mnataka! Ndugu yangu kila binadamu aliyepo duniani ana kusudi la kuwepo duniani, ukilitambua hili hutakuwa na sababu ya kwanini usimsapot mkeo kwenye kusudi lake la kuwepo duniani.
 
Nisaidie kujibu hii hoja yangu, ambayo naona kwa hakika wanawake wenye kazi hawafai na hawawezi kua mama na hata wake bora, kwa sababu hawana muda wa kulea watoto (ambalo kiasili na kma maumbile ndio jukumu lao) na pili kipaumbele chao sio familia bali kazi na vyeo. Hamnaga muda na familha na ni kichaka cha kutegea majukumu yenu ya asili.
fikiria siku ukakufwa zako, afu mkeo mama wa nyumbani na watoto 5, atawahudumia vipi? ndugu acheni wake zenu wapambane km mnavyo pambana
 
Neno maono mnalitumia vile mnataka! Ndugu yangu kila binadamu aliyepo duniani ana kusudi la kuwepo duniani, ukilitambua hili hutakuwa na sababu ya kwanini usimsapot mkeo kwenye kusudi lake la kuwepo duniani.
Kusudi lake ni kumsaidia mwanaume atimize malengo na maono ya mumewe. Amhudumie, awalee watoto, ampatie mwanaume faraja, sex nk. Hilo ndio kusudi lake
 
fikiria siku ukakufwa zako, afu mkeo mama wa nyumbani na watoto 5, atawahudumia vipi? ndugu acheni wake zenu wapambane km mnavyo pambana
Kwani nilioa kwa ajili ya "siku nikifa" au kwa ajili ya kuijenga familia ?! Tuwaache wanawake zetu "wapambane" ?! Mwanaume nihangaike mke nae apambane sasa hapo tofauti ya mume na mke iko wapi ?! Si ni kama nimeoa limwanaume lenzangu ?!
 
Hivi hizi mada huwa mnaanzisha kwa ajili ya kutafuta sifa ili muwavue kyupi maadvocate wa 50/50 humu jukwaani au?. Hiki ulichoandika huku uraiani hakipo applicable kabisa, hakuna mwanaume nishawahi ona anaendesha ndoa kwa misingi hiyo.

Ok labda tukubaliane kutokukubaliana kwasababu katiba ina ruhusu uhuru wa kutoa maoni labda pia huenda ndio muendelezo wa wanaume wa Dar na Mikoani imehamia mpaka kwenye ndoa na sasa ni Mme wa Dar vs Mikoani.
 
Kusudi lake ni kumsaidia mwanaume atimize malengo na maono ya mumewe. Amhudumie, awalee watoto, ampatie mwanaume faraja, sex nk. Hilo ndio kusudi lake
wewe unawezaje kujua kusudi la mwanamke ambaye hukumuumba? Tuwe na uhalisia, wewe unamuhudumia mkeo 100%? km jibu ni ndiyo basi Uzi huu haukuhusu.
 
Kwani nilioa kwa ajili ya "siku nikifa" au kwa ajili ya kuijenga familia ?! Tuwaache wanawake zetu "wapambane" ?! Mwanaume nihangaike mke nae apambane sasa hapo tofauti ya mume na mke iko wapi ?! Si ni kama nimeoa limwanaume lenzangu ?!
kwasababu hutak kufahamu Wala kuona mbali. Komalia hapo hapo.
 
kwasababu hutak kufahamu Wala kuona mbali. Komalia hapo hapo.
Wewe unaeona mbali ndio unaona kua majukumu ya mwanaume ni sawa na ya mwanamke ?! Kama wewe ni mwanaume basi ni mwanaume zoba, goi goi, mario au vyote kama wewe ni mwanamke basi ni dume jike na hauna haiba ya mwanamke kama asili inavyompasa mwanamke.
 
Back
Top Bottom