Mwanamke wangu alinidharau baada ya kupata Kijana mwenye gari! Sasa anatamani kuwa na mimi tena

Naviuza nanunua Moja kali zaidi Hakuna kushindwa 🤣🤣🤣🤣
 
Nimekuelewa, lakini kingine Uelewe kuwa Gari ni Kitu ambacho nilikuwa natamani maisha yote kama ilivyo kwa wadada kumiliki Simu nzuri mpya inapotoka. maisha mafupi kama unatamani kufanya kitu kifanye kabla hujakosa uwezo wa kukifanya kabisa
 
hivi ni kweli kuna watu wanapaparikia mwanaume kisa 'gari'..??
smdh..!!
Endelea kujiuliza km wewe hupaparikii kuna wenzio wanapaparikia, itakua ushapandishwa mpaka umekubuhu sasa unaona kitu gani Ila wenzio wanaona ndio chanzo cha mapato na fursa mkoko kutembea kwenye vumbi na kupigwa na Jua kali la Dar hakuna anaependa
 
Pole sana ndugu. Hata mimi kuna gari inaitwa SIENTA niliazimia kuwa SIENTA ni GARI HARAMU kwa sababu zinazofanana na zako. Ukitoa Nguruwe na kamari kwangu mimi Sienta pia ni haramu. Tofauti yako ni kuwa umeshindwa ku-move on. Bado unampenda huyo manzi wako (aliyegongwa na mmiliki wa IST). Utakuta hapo huna kitega uchumi hata kimoja ila umekimbilia kununua magari kumkomoa demu ambaye kesho anaweza hongwa Porsche Cayene ukaja tena hapa kutulilia. Jitahidi kuwa mwanaume kamili kwa kukubali hizo nyakati za demu kukukataa. Wewe bado uko kwenye himaya ya huyo manzi. Na ukiendelea kuwa mpuuzi utapigwa tena tukio.
 
Seems like unaenda kumsalimia ili kumlingishia something which shouldn't be done by a real man. We angalia maisha yako incase angekufuata na kukwambia labda mrudiane hapo ungeweza kutema nyongo.
Mimi nakusihi kama mwanaume mwenzako, angalia yanayokuhusu less otherwise bado unampenda na unataka umrudie baada ya kumuumiza kwa majuto yake.
 
Umeongea point Ndugu yangu. Ahsante Sanaa
 
Nop! Kunatofauti hapo Kulingishia sio Hoja na kwanini huwa tunachukulia mafanikio ni matambo?
 
Kijana una gari tatu unahangaika na mdada mmoja kupita pita ofisini kwake😂


Kuna njemba walivopata magari kwanza ma ex wa nyuma wakasahaulika pap
Ikawa ni kutafuta unknown pipo na “kutanua” konekshen😁
Kaka Sometimes huwa tunapenda kumake peace with our own p'po
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…