Mwanamke wangu alinidharau baada ya kupata Kijana mwenye gari! Sasa anatamani kuwa na mimi tena

Bado mapenzi yanakusumbua; unapita kumsalimia ili iweje? Move on bra
 
Ebwana wewe unamatatizo so miaka imeenda bado unamuwaza tu huyo dem mpaka unaenda kumringishia gari yako🤣 let it go bwana
 
Hahaaaaa, kwahiyo unamtambia kuwa una magari mkuu? Haisaidii kwani yalishapita hayo. Move on mkuu.
 
Dar joto sanaa alitaka afanyaje mtoto wa kike yule aisee
 
Ndiyo nampenda ila nataka kumpa somo kwanza aelewe katika maisha mambo hubadilika
Usimrudie,ukifilisika atakukimbia na kukuachia watoto

Huyo ni Kama Nancy wa Davis mosha
Anathamini material things kuliko upendo na utu wa mtu.

Trust me Kuna kushuka kwenye maisha,madhali una pumzi lolote laweza kukupata muda wowote.

Tafuta mwanamke sahihi ufanye naye maisha.
 
Maisha ya sasa kama huna gari au hata pikipiki madem wanakuona boya sana huo ndio ukweli, mademu wanapenda sana show off waonekane wameshushwa katika gari sio kuparamia madala dala!!
 
Uyo mwanamke webado unampenda kama vp muoe tu kama hajaolewa Bado
 
Usijaribu hata kumfikiria huyo maana ni mshamba, mpuuzi na hajitambui, kwasasa una magari lakini magari hayapo siku zote hivyo siku ukikosa ulichonacho atakukimbia tena. Tafuta mtu sahihi uendelee na maisha yako
 
hivi ni kweli kuna watu wanapaparikia mwanaume kisa 'gari'..??
smdh..!!
Ila jf inawanafiki sana kwakweli nmecheka sana kw comment yako hata kw nchi zilizoendelea kuna aina fulan za magari wanawake wanapapatikia uyo mwanaume sembuse huku.
 
Aachane nae bwana Acha akafie mbali hukooo maana huyo atakuwa hajarudi kwa kumpenda atakuwa kafata Mali tuu
 
Kwa hiyo huyo bibie anaenda magari tu?!
 
Ila jf inawanafiki sana kwakweli nmecheka sana kw comment yako hata kw nchi zilizoendelea kuna aina fulan za magari wanawake wanapapatikia uyo mwanaume sembuse huku.
kumbe aina..??
Sawa mnafki mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…