Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa, kwahiyo unamtambia kuwa una magari mkuu? Haisaidii kwani yalishapita hayo. Move on mkuu.Nilikuwa na mwanamke ambaye nilikuwa nampenda mnoo, naye akasema ananipenda sana, Tukiwa chuo mimi nilikuwa nina kipindi 6 hadi 10 na yeye alikuwa anaingia saa 10 hadi saa 2 nikawa namsubiri atoke kisha namsindikiza kwao kwa daladala. Siku moja akanambie we nenda tu nikasema sawa sasa kuna mshikaji wangu alinichelewesha muda natoka naona pisi yangu inaingia kwenye IST (Vigari visnichi) shwaaa, akaondoka, nikapotezea siku nyingine tupo kwenye daladala akapigiwa simu alipomaliza kuongea akanambia mi nashuka kituo cha mbele, nikwamuuliza amekuja kukufata tena? akanijibi ni rafiki tu. tukateremka wote, jamaa akaja nikamuuliza manzi yangu huyu ni nani yako akanijibu nin mpenzi wangu, dah! niliumia sanaa sikujibu kitu baada yake nikaondoka badaye akanitafuta akanambia alinitania tu.
Tukaendelea ila nilitamani siku ifike ajue kuwa IST sio kitu ya kudharau upendo wangu, Mwenyezi Mungu sio Athumani, saivi nina Magari matatu BMW M5, CROWN, na VANGUARD na huwa napita kumsalimia anapofanyia kazi kuonesha kuwa Wakati wa mungu ni sahihi zaidi. Ila mapenzi bhana, saivi nina Magari anapaparika mnoo.
Tujifunze kuheshimu watu, Maana hatujui nani atakuja kuwa mlango wa Mafanikio Yetu
Usimrudie,ukifilisika atakukimbia na kukuachia watotoNdiyo nampenda ila nataka kumpa somo kwanza aelewe katika maisha mambo hubadilika
baadae wanasahau wanakuja tena kulalamika ugumu wa maishauzur wa jf kila mtu anajiweza na anamaisha mazuri
Nadhani bado unampenda
Usijaribu hata kumfikiria huyo maana ni mshamba, mpuuzi na hajitambui, kwasasa una magari lakini magari hayapo siku zote hivyo siku ukikosa ulichonacho atakukimbia tena. Tafuta mtu sahihi uendelee na maisha yakoNilikuwa na mwanamke ambaye nilikuwa nampenda mnoo, naye akasema ananipenda sana, Tukiwa chuo mimi nilikuwa nina kipindi 6 hadi 10 na yeye alikuwa anaingia saa 10 hadi saa 2 nikawa namsubiri atoke kisha namsindikiza kwao kwa daladala.
Siku moja akanambie we nenda tu nikasema sawa sasa kuna mshikaji wangu alinichelewesha muda natoka naona pisi yangu inaingia kwenye IST (Vigari visnichi) shwaaa, akaondoka, nikapotezea siku nyingine tupo kwenye daladala akapigiwa simu alipomaliza kuongea akanambia mi nashuka kituo cha mbele, nikwamuuliza amekuja kukufata tena? akanijibi ni rafiki tu.
Tukateremka wote, jamaa akaja nikamuuliza manzi yangu huyu ni nani yako akanijibu ni mpenzi wangu, dah! niliumia sanaa sikujibu kitu baada yake nikaondoka badaye akanitafuta akanambia alinitania tu, tukaendelea ila nilitamani siku ifike ajue kuwa IST sio kitu ya kudharau upendo wangu.
Mwenyezi Mungu sio Athumani, sasa hivi nina Magari matatu BMW M5, CROWN, na VANGUARD na huwa napita kumsalimia anapofanyia kazi kuonesha kuwa Wakati wa mungu ni sahihi zaidi. Sasa hivi nina Magari anapaparika mno, Ila mapenzi bhana
Tujifunze kuheshimu watu, Maana hatujui nani atakuja kuwa mlango wa Mafanikio Yetu
Ila jf inawanafiki sana kwakweli nmecheka sana kw comment yako hata kw nchi zilizoendelea kuna aina fulan za magari wanawake wanapapatikia uyo mwanaume sembuse huku.hivi ni kweli kuna watu wanapaparikia mwanaume kisa 'gari'..??
smdh..!!
Kwa hiyo huyo bibie anaenda magari tu?!Nilikuwa na mwanamke ambaye nilikuwa nampenda mnoo, naye akasema ananipenda sana, Tukiwa chuo mimi nilikuwa nina kipindi 6 hadi 10 na yeye alikuwa anaingia saa 10 hadi saa 2 nikawa namsubiri atoke kisha namsindikiza kwao kwa daladala.
Siku moja akanambie we nenda tu nikasema sawa sasa kuna mshikaji wangu alinichelewesha muda natoka naona pisi yangu inaingia kwenye IST (Vigari visnichi) shwaaa, akaondoka, nikapotezea siku nyingine tupo kwenye daladala akapigiwa simu alipomaliza kuongea akanambia mi nashuka kituo cha mbele, nikwamuuliza amekuja kukufata tena? akanijibi ni rafiki tu.
Tukateremka wote, jamaa akaja nikamuuliza manzi yangu huyu ni nani yako akanijibu ni mpenzi wangu, dah! niliumia sanaa sikujibu kitu baada yake nikaondoka badaye akanitafuta akanambia alinitania tu, tukaendelea ila nilitamani siku ifike ajue kuwa IST sio kitu ya kudharau upendo wangu.
Mwenyezi Mungu sio Athumani, sasa hivi nina Magari matatu BMW M5, CROWN, na VANGUARD na huwa napita kumsalimia anapofanyia kazi kuonesha kuwa Wakati wa mungu ni sahihi zaidi. Sasa hivi nina Magari anapaparika mno, Ila mapenzi bhana
Tujifunze kuheshimu watu, Maana hatujui nani atakuja kuwa mlango wa Mafanikio Yetu
kumbe aina..??Ila jf inawanafiki sana kwakweli nmecheka sana kw comment yako hata kw nchi zilizoendelea kuna aina fulan za magari wanawake wanapapatikia uyo mwanaume sembuse huku.