Mwanamke wangu ananiomba sana hela. Kwa hali hii nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine

Mwanamke wangu ananiomba sana hela. Kwa hali hii nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine

Ana subiri kuwa single maza huyo, mpe miaka mitatu tu utakutafuta tena.

Kazi ya nauli 4500 ni kazi gani hiyo? Kwa hiyo haimlipi hata nauli?

Hapo wewe unapanda Daladala ila yeye anataka kwenda na Boda boda au bajaji😅😅😅
Acha tu ndugu yangu na nilipanga nije niweke ndani kabisa ila ashanitoa imani
 
Kataa ndoa tunajambo letu 2025 mwingine huyu hapa namuachia manyoya shwaaaah uzuri ashalambwa mara mbili japo sikuwa na mpango wa kumuacha ila kwa haya mashuti aisee nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine.

Mimi siwezi kufanya mambo yote hayo mimi sio baba yako. Kila mtu afe na chake

Unawezaje kuja kupost screenshot ya chats zako na demu wako humu JF si ukapost Facebook huko.

Unaonyesha bado hauko matured enough brother.
 
Ana subiri kuwa single maza huyo, mpe miaka mitatu tu utakutafuta tena.

Kazi ya nauli 4500 ni kazi gani hiyo? Kwa hiyo haimlipi hata nauli?

Hapo wewe unapanda Daladala ila yeye anataka kwenda na Boda boda au bajaji😅😅😅
Mm pia natumia hiyo nauli kwahiyo usiseme kazi gn it depends unakaa wapi unakuta mtu unapanda bajaji mbili mpaka kufika job but alichozingua dada mwenzetu ni kuomba nauli ya kazini wakati hua inakua kwenye budget ya mshahara
 
Back
Top Bottom