Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
80k ya kusuka?Wewe unaona alichokifanya mwenzako ni sahihi mtu kazi anayo bado anataka anitegemee jwa kila kila kitu na juzi jumanne nimempa 80k ya kusuka na mambo mengine madogo madogo lakini leo tena tayari bili mpya
Au ana taka kufungua saloon