Mwanamke wangu anapenda mapenzi kila dakika na ni mke tutatoboa kweli?

Kwa ambao hawajaoa au hawaishi na wake zao hawawezi kuelewa.Kuna muda mwanaume unakuwa umevurugwa moodless akili haipo kabisa unawaza mambo mengine kabisa ila na mke naye anataka! Au sometimes unataka uvutie time kidogo ili ujipange vizuri lakini na yeye anataka show😀 kazi kweli kweli.Hawajui kwenye sex anayetumia nguvu zaidi ni mwanaume, yeye kazi yake kupanua tu 😀
hawaelewi
 
Tangu nizaliwe sijaona mwanamke anaupwiru kama huyu. Yaani ukitua kitandani tu mikono mwilini anataka show. Ukipiga show ya kawaida. utakuta bado anakupapasa hapo ujue ushavurunda.

Ukimpiga show babu kubwa aisee analala huko hana hata hamu analala kama amekufa.

Sasa changamoto anataka kila sikuuuu iendayo kwa mungu. Yaani hajali umechoka au jana mmepiga yeye hataki kujua muda wote mihemuko. Na labda utasema nimechoka nipige kimoja nilale hapo ndo umeyakanyaga maana bila show ile yenyewe anasumbua mikono kila sehemu had kero.

Napenda ngono ila huyu niliyempata amenizidi zaidi ya marasaba.Nataman mapumziko lakini wap
Huenda Ni hormones ndo zinapelekea awe Ivo wako ambao sababu ya hormones anakua anachukia Sana tendo Na hafurahii Kuna wengine anakua anahisia za juu Sana ZA tendo muda wote Yuko on fire
 
Tangu nizaliwe sijaona mwanamke anaupwiru kama huyu. Yaani ukitua kitandani tu mikono mwilini anataka show. Ukipiga show ya kawaida. utakuta bado anakupapasa hapo ujue ushavurunda.

Ukimpiga show babu kubwa aisee analala huko hana hata hamu analala kama amekufa.

Sasa changamoto anataka kila sikuuuu iendayo kwa mungu. Yaani hajali umechoka au jana mmepiga yeye hataki kujua muda wote mihemuko. Na labda utasema nimechoka nipige kimoja nilale hapo ndo umeyakanyaga maana bila show ile yenyewe anasumbua mikono kila sehemu had kero.

Napenda ngono ila huyu niliyempata amenizidi zaidi ya marasaba.Nataman mapumziko lakini wap
Rinda liko intact?
 
Bora huyo anapenda, usiombe upate asiyependa aisee utateseka
 
Back
Top Bottom