Mwanamke wastani wa miaka 25 hadi 29 bado ni Bikira

silalamiki ila najuta kwanza alinipotezea muda na nilishamdampo yeye sasa ndo anateseka nami nayafurahia mateso yake
Usijal cha kwanza ujue hakuna mtu anaeweza kukupotezea mda kama ni utamu mliupata wote, kama bado unayafurahia mateso yake ujue bado unampenda ,hata mwingine akikuchukua jua tu ipo siku mwamba atachapiwa for sure ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mwanamke mwenye umri huo ana bikira hata kama ni kweli mimi siwez na hata sitaman kuwa nae maana inaonekana hapendelei mizagamuo ina maana hata nikiwa nae atanisumbua tu na sitak kufundisha mtu mimi nataka kukutana na mtu mwenye full maujuz

wA hivyo unaweza kuta ni wagonjwa au hawana nguvu za kike
 
๐Ÿ˜€Hutaki kua ticha wa Mizagamuano?
Ila ni wa kawaida, sio pc kali
 
Fanya kunitumia namba yake ili nimfanyie utafiti wa kina (yaani ule wa induction) halafu nikifanikiwa kupata majibu sahihi, Inshallah nitakupa mrejesho.
 
Usimuite tapeli boyfriend wako wa kwanza kwa sababu tu hakukuuoa.
Mapenzi ya karne hii yamebadilika sana, kuwa na ma Ex ni kitu cha kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ