Mwanamke wastani wa miaka 25 hadi 29 bado ni Bikira

mbona nilikutana na binti wa islamic alikuwa 28 alikuwa nayo kabisa mm n shahid .....sjui nmtajeee
 
Labda bikra ya Mixx by Yas
 
Bikra ndio heshima kwa mwanamke, utakua mpumbavu kuacha bikra na kuoa mtumba
Cc : @rebecca87
 
Mwaka Jana mwezi wa tisa nimekutana na binti wa miaka 25,akanambia ni bikra,, akaniamini nikaitoa bikra.

Kilichonishangaza nikwamba tayari Kisha kuwa na mahusiano na men zaidi ya watano kabla yangu lakini wote waliishia deep kiss na kumsugua kisimi baaas.

Nilishaachana nae Ila. Bado huwa namfikiria mpaka leo na sijawahi kupata jibu kuhusu Ile bikra
 
Bikra ndio heshima kwa mwanamke, utakua mpumbavu kuacha bikra na kuoa mtumba
Cc : @rebecca87
Kwa huo umri mkuu km bado anayo maswali ni mengi sanaaa. Bora ambae ashavuka stej ya ujana
 
Haya ni maajabu
Miaka 25 na ukakuta bk? Km alikua anafaa uongeoa tuu mkuu
 
Haya ni maajabu
Miaka 25 na ukakuta bk? Km alikua anafaa uongeoa tuu mkuu
Nilitaka kumuoa lakini Nadhani haikupangwa,mpaka leo huwa najiuliza ilikuwa je mpaka akaitunza bk yake?
 
Kwa huo umri mkuu km bado anayo maswali ni mengi sanaaa. Bora ambae ashavuka stej ya ujana
Wapo wengi tu waliolelewa kwenye maadili achana na hawa wasiokua na malezi wanaona sasa tu kugawa nyuchi zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…