Mwanamke yupi sahihi kati ya hawa wawili? USHAURI WAKO NI MUHIMU

Wewe tunakoelekea tutaanza kuwapiga fimbo ,kwani mabinti wasio na watoto wameisha ?
Sijaona mwanamke hapo Kati ya wote .
 
Mbona tayari umejijibu,watoto wa 2000(af mbili) ni moto brother tendo sio maisha,amani ni kitu muhimu sana na tunaojua ni tulio kwenye ndoa tu,kama nafsi yako imemridhia single mama mchkue,kama tu umeridhia kuishi na hao watoto wake
 
Kwa nini unawatafuta wanawake ambao wamefiwa na wazazi (yatima) au unataka kukwepa mahari?
Anyway Ushimen natumai ulikuwa darasa moja na wazazi wa hawa mabinti ambao jamaa yetu Next King anapanga kuwaoa hebu toa neno moja.
 
Ni vema kupokea ushauri wa mke. Wewe utoe mwongozo kwa mke na familia yako.
 
Hakuna mke hapo,tafuta ambaye hajazaa,kuhusu akili na hela mtatumia za kwako

Narudia usioe singo maza
Mkuu maelezo niliyoweka hapo nadhani yapo very clear. Imagine ndio wewe sasa na yakupasa ufanye maamuzi kwa kuzingatia hiyo scenario, utafanyaje mkuu. ushauri wako ni muhimu sana
Fuata ushauri hapo juu. Keshakupa
 
A na B yote sio sahihi.

Ongeza sampuli, wadau wamekupatia vigezo
 
Hili ni jibu la kisaikolojia..!!
 
Hawakuachana akiwa triple mother?
 
Wee a ha ujinga bwana wote hawafai bro...why ukachukue wanawake single mama bro?

Anyways kama ingebidi kuchagua, mzee chukua huyo wa 24. Sii umesema ana uno hatari kitandani. Basi huyo ndio mwenyewe na uzuri yeye anataka azae alee familia.
 
Tatizo vijana wanaleta wanataka kutumia hisia (huruma) kwenye maamuzi muhimu maishani mwako (ndoa)
Wee mechi inaanzaga 0-0. Hakuna chengine zaidi ya hapo. Hizo story za oh sijui wengine wanakuwa wametoa mimba so bora huyu alizaa huo ni upuuzi. Kama alitoa mimba mimi sijui hayanihusu. Muhimu u ao unasoma 0-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…