Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

Pole Pole aliwai kushika nafac nyeti ndani ya ccm alichosema kumuhusu huyo mwanamtandao ni kweli tuna iman serkali itaanzusha uchunguzi na kuchukua hatua tz sio shamba la bibi
 
Le super bilionea RA u know. Ata clear the air . HP alisisitiza wasitumwe chawa kumjibu bali Wahuni waandamizi wajibu hoja zake.

Ni vizuri akanongea hasa lile la The late John M kufungua kiwanda cha ngozi morogoro na shida zilizofuatia kutokea.

Ni vema akaliongelea la Williamson na buy out of Petra diamonds.
 
Mwanam Mwana mtandao.. mitano tena!
 
Na la makaa ya mawe bila kusahau kwanini anamng'ang'ania samia wa watu kwa sasa kila mahali anaonekana yupo..
 
Huyo huwa anaongea ukweli hajali wala nini 😹
Si mnakumbuka alivyosema mahakama inapigiwa simu moja tu na haki inapindishwa..!!!
 
Mkuu, ungesema tu unatamani hiyo press wangekuwepo watangazaji wenye weledi.​
 
Wenzie wamemtuma akajibu. Na wameona point ni Ile 2000 ya ges
Wamefuta JK ana mambo yake anakuaga na akili Rostam angejichanganya sana na angejikaaga na mafuta yake mwenyewe sio kila kitu cha kujibu sometimes Ali ya hewa kama hii unakaa kimya unaweza kujichanganya ukaaribu mazima Wamefuta Azam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…