Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Ninaandika kitabu cha ujasiriamali ndipo nilipogundua kwamba kuna vitu navijua vizuri lakini kuna watu huwa wanapotosha kwenye jamii tena hata mishipa huwatoka, (hushupaza shingo) hapo ndiyo patamu nikaanza kutafuta jinsi ya kumuelezea binadamu ambaye unamjua kwamba ana akili na ana elimu ya kimataifa lakini huamua kuidanganya jamii hata kwa jambo unalo lijua vizuri hata humu jf wamoKuahirisha kufikiri kwa nafsi π³ !
a.k.a Kujizima data π³π !
π€£π€£π€£π€£π π π
Watu wa namna hiyo wapo sana tu zama hizi ππ€·πΏββοΈ !
Mzee wa taifa gesi...View attachment 3462171
Ni leo, Septemba 2, 2025 kwenye kituo cha Azam TV kupitia chaneli yao ya UTV. Je, atazungumza nini? Atajibu tuhuma za Humprey Polepole, atazungumzia Uchaguzi, au ana jambo gani hasa huyu ambaye tumesanuliwa na Polepole kuwa ni Mwanamtandao?
Haahaa angitisha press kwa wanahabari, pia atwangwe maswali magumu...Ila na wewe ROSTAM hata kama upo karibu na Inner cycle ila uwe unaona AIBU, kila kashfa kubwa UMOOO!..kutaja tu chache:
-Richmond
-Dowans
-Kagoda
-Mdogo wako na nyara za serikali
-Channel 10
-DP World
......haipendezi kiongozi
Leo tarehe 2 .9.2025 saa tatu usiku kupitia UTV ya azam mfanyabiashara na mbunge wa zamani Rostan Aziz atazungumza na taifa
Hapa anakuja kushusha nondo za kukaanga Polepole alie udanganya umma .
USSR
Walete vyombo vya uchunguz ili ni suala kubwa au unaogopa?Dawa akisha jibu amfungulie mashtaka haraka sana ili ushahidi wa polepole ajenao mahakamani huku tupumzike na mbwembwe za chakubanga naimani hapo tutajuwa nanianamtuma huyu msaulifu .
Lazima nimsikilize mwamba Mnyamwezi wa igunga!!View attachment 3462171
Ni leo, Septemba 2, 2025 kwenye kituo cha Azam TV kupitia chaneli yao ya UTV. Je, atazungumza nini? Atajibu tuhuma za Humprey Polepole, atazungumzia Uchaguzi, au ana jambo gani hasa huyu ambaye tumesanuliwa na Polepole kuwa ni Mwanamtandao?
Sasa jichanganye tutataja Mpaka Ile dili ya shivacomMwekezaji Rostam Aziz anatarajia kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV.
Ikumbukwe kwa siku za hivi karibuni Mwanasiasa Humphrey Polepole amekuwa akimshtumu kuhusika kwenye mambo mbalimbali ikiwemo ufusadi.
View attachment 3462173
Kumbe umetambua kuwa Tanzania hakuna waandishi bali toilet za CCM kama kina Balile ?π
Nadhani vita ya Rostam na Polepole itakayoathirika ni CCM
Wote wamekuwa Wajumbe wa Kamati kuu ya chama hivyo wanajua mambo mengi kwa sababu wamekuwepo pia kwenye sekretarieti
Majibizano yakikata kona na kwenda personal basi CCM itaumizwa pakubwa πΌ
Natamani hiyo Press wangekuwepo watangazaji wa Citizen tv akina Abdul kadir, Yvonne, Barron, Sammy, Trevel, Jamila, Mashirima na Muongizaji awe Jeff dadeki ππβοΈ
Mbona unalala mapema sana mkuu, una ujauzito?Niache kulala nisikilize porojo za Mtu