Mi Corazon
Senior Member
- Oct 16, 2018
- 162
- 253
Alienda msibani na baada ya mazishi aliongea na aliyekuwa baba mkwe wake face to face, pia later on alikuja kusema kuwa yale mazungumzo na aliyekuwa baba mkwe wake mzee alikuwa na mchanganyiko wa hasira na huzuni(japo according to him wote wawili walikuwa na huzuni).
Sasa blogs na family members walivyoanza kumnyooshea kidole kwenye social media ndiyo naye akawa somehow abajitetea kiaina ila hakuwa akiongea sana(nadhani alishauriwa na lawyers wake kuwa asiongee sana).
Anele(yule binti) alikuwa teja na ameshalazwa mara kadhaa psychiatric ward lakini the fact kwamba baba yake Mr Tembe ni kigogo, mtu maharufu/mashuhuri huko Kwazulu Natal na ni mwanasiasa kigogo ANC hilo linafunikwa sana ndiyo maana hata alipokuwa akidai kuwa binti yake hakujiua wakati yeye hakuwepo habanwi kwamba anauhakika gani kama hakujia na kama hakujiua nani kamuua. AKA ni kama alijisahau ila alijua kuwa Wazulu hawakubali kama Anele alijiua ukizingatia demu alitumia baadhi ya rafiki zake videos wakigombana muda mchache kabla ya kifo chake.
Halafu baba anasema Anele hakujiua
So it seems she did that under drug influence
Na AKA alikapenda hivyohivyo dah na kalikuwa kanatishia kujiua mara nyingi