TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

Kwamba alimsukuma girlfriend wake tokea ghorofa, haikuwa suicide?

Hii ni cold case kama ya mh.Lissu, ila huyu hakuwa girlfriend, alikua ni fiancee mkuu na AKA alikua mtu wa mwisho kuwa nayeilikuwa 11 April, naye AKA ameuliwa 11Feb, fiancee wake kafa in cape Town (home town ya AKA),Naye AKA kauliwa Durban (home town ya fiancee wake),
 
Sikuwa Sauz wakati wa tukio lakini ukifuatilia watu wanaohojiwa(eye witnesses) ndiyo wanadai hivyo na ujue ile barabara imenyooka hauwezi kum-shoot mtu unaondoka kwa kukimbia, hata gateway car lazima baada ya mwendo mfupi itemwe waingie kwenye nyingine(that's how they normally do it).
-So kwenye hilo we can't be 100% sure mpaka footages za CCTV cameras zitakapokuwa kwenye mitandao.
Video nliyoona mimi hao walomshot wanaonekana walipotokea walikuwa kwa mguu labda gari kama itakuwa kule walipotokomea ndo mana nkauliza hivyo ! sasa ungekuwa sauz ndo ungejua ? mbona hao waliopo sauz hadi sasa hawajui !
 
Hata mimi sijaona clip ya gari bali maneno ya bystanders waliokuwa wakihojiwa(kama wameongea ukweli) na secondly(hapa nimejiongeza tu mwenyewe) nina na uwezekano wa watu kufanya tukio lile bila ya kuwa na gateway car kwa kuwa naijua ile barabara na nature na Wasauz ambao ukitoa wale vibaka wanaokaba 'livelive' mchana kweupe matukio mengine kikawaida huwa lazima kuwe na gari ya kuwatoa fasta eneo la tukio. Ile pistol inaokekana kwamba haukufungwa silencer hivyo ujue kulisikika blast ya maana hapo na watu walikuwa wengi unaondokaje eneo hilo, polisi wa Kisauzi patrol cars huwa zinarandaranda randomly hivyo simu moja tu inatosha kuwajaza hapo(my imaginations though).
 
inamana kule walipokimbilia wale jamaa kuna barabara pia ? basi kama kuna cct pia wataonekana wanavyosepa na hata walipokuja
 
Zitaonekana tu, hata hizo footages za shooting nadhani zimevujishwa makusudi ili uongo usiwe mwingi wa jinsi alivyouawa kwani kabla ya hiyo clip kuvuja walishaanza kudanganya eti shooters walikuwa kwenye gari wakapiga randomly wakamuua AKA na rafiki yake na bodyguard akajeruhiwa sasa wajuba wakaamua kuvujisha ili kuuzima uongo.
Barabara ina CCTV cameras nyingi ambazo obvious police ndiyo wanazifanyia kazi ila ingenoga kama zingevujishwa zote tuone walivyokuja na walivyoondoka.
 
Najaribu ku relate na girlfriend kifo chake kilivyokuwa maana kilikuwa ni utata inasemekana alichangia, lakini cha kushangaza sioni wasanii wenzake kama wameguswa watu kama kina Cassper na hata demu aliyezaa naye Dj Zinhla. Kuna kitu kimejificha.
Yule alikuwa na uchizi wake miaka 22 ushaenda rehab mara kibao
Una date na msanii tena mkubwa unategemea uwe na amani ya moyo
Kama wamemuua kisa mtoto wa totally wrong sababu habari zinasema yule msichana ashawahi jaribu kujiua mara nyingi
Na watu wengi drug addicted wana hizi mambo
 
Nawaambia hapa bongo serikali wanavyopambana kuzuia matumizi holela ya silaha wanasaidia sana. Tukemee sana tusijefika huko. Akitokea kiongozi au mbunge akaleta huo ufala wa maboresho ya sheria iruhusu kuwe na umiliki wa silaha wa wazi wazi then watu wataanza kubatuana mchana kweupe kwa visa vya kipuuzi kama mapenzi, sijui kukoseana heshima yaani ujinga ujinga tupu.
Mzungu ajaamua jombaa...ngoja tufike hatua ya kujielewa na kuanza kudai thamani ya rasilimali zetu tokea ngazi ya mtaa na kijiji.
 
Nawaambia hapa bongo serikali wanavyopambana kuzuia matumizi holela ya silaha wanasaidia sana. Tukemee sana tusijefika huko. Akitokea kiongozi au mbunge akaleta huo ufala wa maboresho ya sheria iruhusu kuwe na umiliki wa silaha wa wazi wazi then watu wataanza kubatuana mchana kweupe kwa visa vya kipuuzi kama mapenzi, sijui kukoseana heshima yaani ujinga ujinga tupu.

Kweli kwa bongo tulivyo mabichwa panzi wengi ,hakika watu watabatuana sana kwa cases za kipuuzi.
 
Najaribu ku relate na girlfriend kifo chake kilivyokuwa maana kilikuwa ni utata inasemekana alichangia, lakini cha kushangaza sioni wasanii wenzake kama wameguswa watu kama kina Cassper na hata demu aliyezaa naye Dj Zinhla. Kuna kitu kimejificha.
DJ Zinhla insta story yake imejaa picha za AKA na mwanae
 
Back
Top Bottom