TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

Yeap !! Life is uncertain coz we don't know what tomorrow will brings while still alive
Yesterday is history, Tomorrow is mystery but Today it's Gift that's why it called present. Life is Uncertain and mystery like tommorow...The Uncertainity of Life is bcoz We don't know what is gonna happen tommorow.

But the Certainty if Death is that we all know that One Minute to come We're gonna Die. Anytime.

Theory!
Binadamu wa kawaida huweza kuziwia pumzi yake kwa dakika 2 na 5-7 kwa watu wenye mazoezi makubwa ya Diving. So what if By default muda wetu wa kuishi ni dakika 2 tu na hua tunareset muda pindi tunapopumua...But actually life expectancy yetu ni 2 Dakika tu.

Aren't we cheating to live this long time/yrs kwa kupumua wakati muda wetu sahihi kuidhi ni 2Min?

Just pondering myself 🤔
 
Rapa kutoka nchini Afrika Kusini, Kiernan Forbes maarufu 'AKA' amefariki dunia baada ya kupigwa risasi katika barabara ya Florida jijini Durban nchini humo.

Rapa AKA alitimiza miaka 35 Januari 28 mwaka huu.
B25A2599-04ED-4960-AFAC-CDCFF7E12B72.jpeg
 
Back
Top Bottom