Nimeona watu wanasema ni kisasi kutoka kwa familia ya girlfriend wake yule aliekufa mwaka jana baada ya kujirusha gorofani,jamaa alidai yule dada alicommit suicide baada ya wao kuwa na ugomvi humo chumbani!
Baada ya ugomvi yule dada alijirusha through balcony,lakini familia ya yule dada nasikia hawakuamini kama angeweza kujirusha bali waliamini jamaa alimsukuma ili afe sasa wapopo ndo wanadai ile familia imeamua kulipa
Nimeona watu wanasema ni kisasi kutoka kwa familia ya girlfriend wake yule aliekufa mwaka jana baada ya kujirusha gorofani,jamaa alidai yule dada alicommit suicide baada ya wao kuwa na ugomvi humo chumbani!
Baada ya ugomvi yule dada alijirusha through balcony,lakini familia ya yule dada nasikia hawakuamini kama angeweza kujirusha bali waliamini jamaa alimsukuma ili afe sasa wapopo ndo wanadai ile familia imeamua kulipa kisasi kwa kumuua jamaa!
Yes,AKA FAMILY NAO,wajue simanzi ya kufiwa,kwangu alikua arrogance, angesubiri family ya wafiwa waomboleze kabla ya ku move one!