TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

Huyu atakuwa kazingua

Kifo hakikosi sababu

Ova

Yule demu wake mzaliwa wa durban jamaa alimsukuma kutoka ghorofani hadi chini akafa, kama unavojua habari za durban kwanza yule dogo alikua mtoto wa tajiri kule mtaa, sasa jamaa kaenda durban naona wakamiwinda ili wamalize kazi kabla hajafanya tamasha lake, japo mauaji mengine south yanatokea bila sababu lakini mwamba ni kisasi kimelipwa
 
Haya mambo ndiyo yalifanyaga nikaahirisha kwenda Marekani, zero security, muda wowote unakula shaba...

Ni bora utulie bongo na ki take home chako cha 700k, kuliko kwenda kuishi kwa stress nchi za watu.
 
Jamaa alijitengenezea kifo chake mwenyeweee....
Screenshot_2023-02-11-08-38-26-845-edit_com.video.fun.app.jpg


 
Back
Top Bottom