TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

Duh! Tulio na mabinti warembo tumekuelewa mzee kutoka kwa Fidel Castrol

Shukraani mkuu,date my daughter ila uki cross red line,will push back, AKA was arrogant, huwezi uka move on so quickly baada ya girlfrienwd

Duh! Tulio na mabinti warembo tumekuelewa mzee kutoka kwa Fidel Castrol

Yes mkuu ,Nami ningemmimia aka risasi nyingi sana
 
Wanavyosema huko Twitter.
IMG_20230211_065542.jpg
 
Pay back time, AKA alikua ni main suspect kuhusu kufa kwa ex girlfriend wake kwa 'kujirusha'gorofani pale mother city, ni revenge ambayo binafsi its ok,hii ni push back kutoka kwenye familia ya ex wake, Nami ningefanya hivi hivi, huwezi akanipotezea mtoto wangu then kwako life akawa normal, it's a NO
Kwenye forums za wa South nimeona watu wanafurahia kifo chake kabisa,sikujua sababu
 
Rapa kutoka nchini Afrika Kusini, Kiernan Forbes maarufu 'AKA' amefariki dunia baada ya kupigwa risasi katika barabara ya Florida jijini Durban nchini humo.

Rapa AKA alitimiza miaka 35 Januari 28 mwaka huu.View attachment 2513218
Nilikuwa natamani siku moja niende South Africa kutalii lakini kwa matukio ya uhalifu ninayojua kupitia social media na tvs, nimehairisha, Ile nchi imelaaniwa
 
Pay back time, AKA alikua ni main suspect kuhusu kufa kwa ex girlfriend wake kwa 'kujirusha'gorofani pale mother city, ni revenge ambayo binafsi its ok,hii ni push back kutoka kwenye familia ya ex wake, Nami ningefanya hivi hivi, huwezi akanipotezea mtoto wangu then kwako life akawa normal, it's a NO

Kwani kuna cctv inayoonyesha AKA alihusika kumrusha ex girlfriend wake? Je kama hasira zake tu akaamua kujirusha who knows? CCTV footage ndiyo ingemaliza mchezo.
 
Back
Top Bottom