Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee this niqqa was very arrogant. Period!
Until the day.It's not a white man's finger on the trigger
Car-jacks, drive-by's, callin' each other "nigga"
I'm not here to scold but rather shape n' mold
That young black mind that won't live to grow old
Cause you're fronting smoking on the blunt and
Down with your friends cause you think you're making ends
But you're not - and that's the truth of the matter
Your brother gettin' skinny, cause you want your pockets fatter
NonChalant 5 O' Clock in the Morning
Kuna watu walikuwa wanafurahia mateso aliyokuwa Jiwe anawapa wapinzani wake wa kisiasa. Huu ubaguzi upo kila sehemu. Inawezekana hata wewe huupendi kama inavyowezekana hata yeye AKA hakuupenda, ila ndio hivyo huwezi kujua.Dhambi ya ubaguzi hiyo..binafsi siwezi kusikitika kipindi wageni/watafutaji wanauliwa hao wasanii wa south walikuwa kimya kabisa sasa hivi wameanza kuuana wenyewe kwa wenyewe
Pakuanzia uchunguzi ni kwa huyo mlinzi wake huo mchezo ulishapangwaKuna tetesi mwanamuziki A.K.A kutoka South Africa amepigwa risasi huko Durban, South Africa
A.K.A aliwahi kushirikiana na mwanamuziki Diamond miaka ya nyuma wakachia kibao kinaitwa 'Make Me Sing' na Don't Bother alioimba na Joh Makini
======
Polisi jijini Durban, Afrika Kusini, wamethibitisha kuwa mwanamuziki Kiernan Forbes maarufu kama AKA ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa ndani ya gari kwenye barabara ya Florida usiku wa Ijumaa, Februari 10, 2023.
Mtu mwingine anayeaminika kuwa mlinzi wa AKA pia alijeruhiwa, huku mwingine ambaye inafahamika kuwa rafiki wa karibu wa AKA, naye ameuawa.
Bado haijafahamika nini chanzo cha mauaji hayo, ila Polisi walifika kwenye eneo la tukio ambapo walifunga barabara na kuanza shughuli za uchunguzi.
AKA ambaye alikuwa na umri wa miaka 35 ni miongoni mwa wanamuziki bora zaidi wa Afrika Kusini na ametayarisha na kuandika nyimbo nyingi zilizofanya vizuri zikiwemo Fela In Versace, Baddest na nyinginezo tangu aingie kwenye tasnia hiyo miaka kumi iliyopita.
AKA pia amewahi kushirikiana na msanii wa Tanzania Diamond Platnumz katika kibao kinachoitwa Make Me Sing, na pia ameshirikishwa kwenye wimbo wa Joh Makini uitwao Don’t Bother.
----------
RAPPER AKA SHOT DEAD IN DRIVE-BY SHOOTING ON DURBAN’S FLORIDA ROAD
View attachment 2513190
Kiernan ‘AKA’ Forbes
Durban - Police sources in Durban have confirmed rapper Kiernan ‘AKA’ Forbes was shot dead in a drive-by shooting on Florida Road on Friday night.
Another person believed to be AKA’s bodyguard, was also wounded, while another unidentified person, who is understood to be a close friend of AKA, has been shot dead.
Police in the province were yet to officially comment on the murders, but IOL has independently confirmed from well-placed police sources, who cannot be named as they are not permitted to speak to the media.
It is understood that AKA was standing outside the Wish Restaurant when he was gunned down in a drive-by shooting.
Two unknown cars are believed to have opened fire just before 10pm.
Police had cordoned off the area when an IOL team arrived at the scene on Friday night.
Speaking to IOL, stunned patrons at a nearby restaurant said AKA had been standing outside Wish when he was gunned down.
Garrith Jamieson, a spokesperson for ALS Paramedics said Florida Road has been closed off after the shooting incident Florida Road where two people have been confirmed deceased
Jamieson said amongst the deceased was a “famous rapper”.
The identity of the second person shot dead is unknown at this stage, but he is understood to be a close friend of AKA.
According to social media posts, AKA was due to perform at a Durban night club, YUGO, where he was expected to perform as part of his birthday celebrations.
His close friend Da Les, took to social media to express shock.
Source: IOL
Unless AKA awe ndio aliyem_push, otherwise mtu kama alijirusha mwenyewe, sioni hatia yake hapo. Ni kama mtoto kunywa sumu afe kisa kachapwa na baba yake.Pay back time, AKA alikua ni main suspect kuhusu kufa kwa ex girlfriend wake kwa 'kujirusha'gorofani pale mother city, ni revenge ambayo binafsi its ok,hii ni push back kutoka kwenye familia ya ex wake, Nami ningefanya hivi hivi, huwezi akanipotezea mtoto wangu then kwako life akawa normal, it's a NO
SureKARMA HAS NO MENU
Watu walisha m'zoomAlikuwa twitter masaa machache kabla ya kuuwawaView attachment 2513193