TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

Ni myth tu.

Haimaanishi kwamba usipomfanyia mtu ubaya leo basi umejihakikisha kutofanyiwa ubaya na yoyote, maisha hayako hivyo.

Magumu na Raha ni sehemu ya maisha ya binadamu bila kujali historia yake.
Huwezi kuepuka kutofanyiwa ubaya ni part and parcel ya maisha duniani. Watu wanafanyiwa ubaya bila wao kufanya BUT ukifanya ubaya utakurudia tuu in one way or another. Hata kama sio leo sio wewe but the cycle will turn back to its starting point one day.
 
Mtoto mwenyewe wakishua na anatokea Durban ..Kiufupi AKA kaingiq kweny 18 za Wana .



























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































Halafu kesi ilizimwa kirahisi sana























































































































































































































































































































































































































































































f







































Pay back time, fiancee wako anakufa kwenye mazingira tatanishi, then within , 90days wewe unaanza maisha as if nothing kimekutokea,kwangu pia ningempiga risasi nyingi sana za hasira ,































































Mtoto mwenyewe wakishua na anatokea Durban ..Kiufupi AKA kaingiq kweny 18 za Wana .































































Halafu kesi ilizimwa kirahisi sana
 
Karma is real mkuu, believe it.

Fiancee wake 'eti anajirusha'na kufa gorofani tarehe 11 April na AKA anamiminiwa risasi usiku wa kuamkia 11Fep na pia Fiancee huyu anafia cape Town (home ground ya AKA),na mwili kurudishwa Kwa Zulu Natal, AKA anakufa Kwa Zulu na sasa familia yake itabidi waurudishe mwili wake cape Town, pay back time..karma
 
Back
Top Bottom