TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

Pumzika kwa amani

Kwa heshima yake wacha nichukue dakika chache kuweka na kutafsiri mashairi yake kwenye kazi waliyofanya na Joh Makini - Dont Bother
View attachment 2513197

Bosi si kelelem, Mungu nibariki, Siku hizi kusaka hela
Bosi si kelele Mungu nibariki, Siku hizi kusaka hela
Hapo alisema'Nkhosi Sikelela'

Ni kizulu ikimaanisha 'Mungu nibariki au Mungu Ibariki' ni reference kwa wimbo wao wa Taifa na wetu
 
Sasa hii risasi moja tu halafu ishu iliendelea au?

Maana ripoti inasema kuna mtu kafa na mwingine kajeruhiwa
Nimeona video, jamaa hakutaka apone kapiga kichwa moja kwa moja, hakutaka kusikia mtu yuko hospital.
Haya mauaji na ripoti ni vtu viwili tofaut kabisa , kuna kitu hakipo Sawa , CCTV inaonyesha tofaut na maelezo ya awali , wanadai kapigwa risasi 6 , na jamaa yake aliyenyoa upaa naye kauawa na mwingine kajeruhiwa , Video ya CCTV inaonyesha jamaa alimpiga risasi moja Tu ya kichwa na muuaji akapotea eneo la tukio ..... !!! Hzo risasi sita ziko wapi na Ile shooting ya wengine Iko wap, Maluwe luwe tayar yameanza
 
It was a matter of time kabla na yeye hajamfata girlfriend wake, kama kuna kukutana huko akamuombe msamaha kwa kuyakatisha maisha yake,

Poleni wafiwa.

Culture Me i hope utaenda msibani[emoji849]🥲
Nikapigwe risasi na mimi 😂
Hujaingia kwenye group umuone NE anavyoomboleza🙌
 
Haya mauaji na ripoti ni vtu viwili tofaut kabisa , kuna kitu hakipo Sawa , CCTV inaonyesha tofaut na maelezo ya awali , wanadai kapigwa risasi 6 , na jamaa yake aliyenyoa upaa naye kauawa na mwingine kajeruhiwa , Video ya CCTV inaonyesha jamaa alimpiga risasi moja Tu ya kichwa na muuaji akapotea eneo la tukio ..... !!! Hzo risasi sita ziko wapi na Ile shooting ya wengine Iko wap, Maluwe luwe tayar yameanza

Video ipo wapi?
 
Nimetazama tukio la kupigwa risasi kwa AKA, wasanii na watu maarufu wanapaswa kujua kuwa na mwili mkubwa sio sifa pekee ya kuwa Bodyguard. Kumlinda mtu kunaanzia kichwani, akilini.

Mtu unayemlinda anapigwa risasi wewe na limwili lako kama kitanda unakimbia kimbia hovyo.

Hawa ni walinzi wazembe kuwahi kuwaona tangu kuzaliwa kwangu. Unawezaje kusema unamlinda mtu halafu adui anapata nafasi ya kumsogelea kwa karibu vile na kumtwanga risasi?
 
Sikuthole ngokukhulu ukudabuka ukushona kwakho, AKA amazwi enduduzo emndenini ngalesi sikhathi esinzima.
Zonke izingane zami ezivela eCape, Joz, Mamelodi, Rosettenville kuze kufike edolobheni lamavidiyo ngiyaxolisa kakhulu.
 
Back
Top Bottom