Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiangalia vizuri hizo video unaona kabisa kwamba wote waliomzunguka AKA siku hiyo walikuwa kwenye plan ya mauaji... Yule kijana mwenye mzula mweupe anakuja na wanamuona...wanampa space...wanamhug AKA wanamgeuza...wanaacha nafasi jamaa ashuti...
Nimetazama tukio la kupigwa risasi kwa AKA, wasanii na watu maarufu wanapaswa kujua kuwa na mwili mkubwa sio sifa pekee ya kuwa Bodyguard. Kumlinda mtu kunaanzia kichwani, akilini.
Mtu unayemlinda anapigwa risasi wewe na limwili lako kama kitanda unakimbia kimbia hovyo.
Hawa ni walinzi wazembe kuwahi kuwaona tangu kuzaliwa kwangu. Unawezaje kusema unamlinda mtu halafu adui anapata nafasi ya kumsogelea kwa karibu vile na kumtwanga risasi?
Jamaa inasemekana ana walinziRisasi moja tu.View attachment 2514123
Ukiangalia vizuri hizo video unaona kabisa kwamba wote waliomzunguka AKA siku hiyo walikuwa kwenye plan ya mauaji... Yule kijana mwenye mzula mweupe anakuja na wanamuona...wanampa space...wanamhug AKA wanamgeuza...wanaacha nafasi jamaa ashuti...
Mbaya mnoo...jamaa kauliwa na wenzake..

Sahihi wenzake wamechomaUkiangalia vizuri hizo video unaona kabisa kwamba wote waliomzunguka AKA siku hiyo walikuwa kwenye plan ya mauaji... Yule kijana mwenye mzula mweupe anakuja na wanamuona...wanampa space...wanamhug AKA wanamgeuza...wanaacha nafasi jamaa ashuti...
Mbaya mnoo...jamaa kauliwa na wenzake..
JF hii daaaah[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]R.I.P classmate
Yuko pia jamaa mtanzania aliyeshambuliwa kwa risasi alikuwa anasoma PhD. Nafikiri alikuwa lecturer wa St augustine University Mwanza. Nadhani tatizo kubwa S.A ni ukosefu wa ajira, ubaguzi, magenge, biashara haramu na wahamiaji haramu kuwa wengi sana.Yaan SA ukizingua ni chuma tu haina kuremba....hata lucky dube nae hivo hivo mambo ya visasi!
Watu wanadai yule fiancee wake hakujirusha kama jamaa alivyodai, bali alimpiga akafa, then akamrusha chini ionekane kajiua[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Tunatishana sanaKwisha, kwisha! Bado zamu yakoView attachment 2513478
Umemjibu vizuri. WanaJF wengi ni much know mnoNimesoma st.kayumba
Mwamba unanikumbusha miaka ya 95It's not a white man's finger on the trigger
Car-jacks, drive-by's, callin' each other "nigga"
I'm not here to scold but rather shape n' mold
That young black mind that won't live to grow old
Cause you're fronting smoking on the blunt and
Down with your friends cause you think you're making ends
But you're not - and that's the truth of the matter
Your brother gettin' skinny, cause you want your pockets fatter
NonChalant 5 O' Clock in the Morning
Ukiangalia vizuri hizo video unaona kabisa kwamba wote waliomzunguka AKA siku hiyo walikuwa kwenye plan ya mauaji... Yule kijana mwenye mzula mweupe anakuja na wanamuona...wanampa space...wanamhug AKA wanamgeuza...wanaacha nafasi jamaa ashuti...
Mbaya mnoo...jamaa kauliwa na wenzake..
Kidogo tu!Tunatishana sana
Waanze na huyo bodyguard ambae alikimbilia kwenye Noah nyeupe
View attachment 2515494
View attachment 2515497
View attachment 2515492
View attachment 2515498
Tena ilivunja video anamuabuse binti akvunja hadi mlango binti alikuwa anaogopa mnoo
Anaoekana alikuwa mkorofi Kwan alikuwa anarekodi yeye au cctv kule hotelNimeona ile video aisee yule binti alikua analia,huku anasema “I want my mom”ila jamaa alikua busy na kurecord video hata kumtuliza,afu kuna maneno alikua anasema kuhusu bint kutaka kujirusha