R.I,P..
Kwa heshima yake wacha nichukue dakika chache kuweka na kuyatafsiri mashairi yake kwenye kazi waliyofanya na Joh Makini - Dont Bother
View attachment 2513197
woosaaa!! I tell ’em niggas don′t bother
wosaa!! Nawaambia wafanye yao waache yangu
I be in that east coast getting more zaga
Ntakuwepo east coast nimechill Napata zaga
I be in the land of my forefathers
Nipo ardhi ya mababu zangu (Afrika kusini)
In the club spending rands on a gold bottle
Club nakata mkwanja kwenye chupa ya dhahabu
I’m with Joey on this track
Nipo na Joh Makini kwenye hii track
Tz mega star I be going hard
Star wa bongo pamoja tunakiwasha humu
Ain′t it funny how these niggas used to hate?
Nabaki nacheka masela walivyoni disi enzi hizo
Now I’m triple 7 got ugali in my plate
Sasa nipo juu, vyakula vigeni ugali kwenye sahani
Bosi si kelelem, Mungu nibariki, Siku hizi kusaka hela
Bosi si kelele Mungu nibariki, Siku hizi kusaka hela
Keep it super mega Long way if I drop off the top
Nafanya kweli maana nilipo ni mbali nikianguka
J.H.P that’s my strong hold (my strong hold)
J.H.P ndiko iliko ngome yangu (ngome yangu)